Rapa kutokea nchini Marekani Nicki Minaj ameshtakiwa na aliekuwa meneja wake wa zamani Brandon Garret kwa kumshambulia na kumpiga hali iliyosababisha mfadhaiko wa kihisia kwa ...
Mtoto wa Diddy, aitwaye King Combs (26) ameshtakiwa kwa kumnyanyasa kingono mwanamke aliyefahamika kwa jina la Grace O'Marcaigh, tukio lililotokea St Martin mwaka 2022.Kwa muj...
Mhasibu wa mahakama kuu ya kanda Tabora, Beda Mnyaga Nyasira, amefunguliwa mashtaka ya kuingilia mfumo wa malipo na kuwalipa wanaodai mirathi katika mahakama kuu kanda ya Mtwa...
Wakenya watatu washtakiwa kwa jaribio la kusafirisha chungu (sisiminzi) wenye thamani ya shilingi 300,000 za Kenya bila kibali kutoka shirika la Wanyama Pori nchini humo.
Wast...
Mahakama ya wilaya ya Kilwa mkoani Lind imewatia hatiani Maafisa Forodha wa TRA, Sultan Ali Nasor na Silver Maximillian kwa makosa ya matumizi mabaya ya madaraka na kutofanya ...
Meneja wa chumba cha kuhifadhia maiti cha shule ya mafunzo ya kitabibu ya Harvard Medical School, bwana Cedric Lodge nchini Marekani, na wengine watatu wameshtakiwa kwa kununu...
Shirika moja la kutetea haki za binadamu kutoka nchini Kenya limeishtaki shirika la kimataifa la Marekani Johnson & Johnson juu ya kuuzia wananchi wao poda zisizo na ubora...
Mahakama nchini Libya siku ya jana Jumatatu ilitoa hukumu ya kifo kwa wanajihadi 35 waliokutwa na hatia ya kupigana pamoja na kundi la Islamic State katika nchi hiyo iliyopo A...
Wauguzi wanne kutoka mkoani Tabora wanatarajiwa kufikishwa mahakamani kwa kosa la kuchukua viungo vya watoto mapacha huku kitendo hicho kinahusishwa na uchawi.
Afisa wa mkoa a...
Jackson Mali mfanyabiashara kutoka mkoani Songwe amefikishwa mahakamani akidaiwa kuwasilisha nyaraka za uongo TRA, kwa kujihamishia umiliki wa magari kinyume cha sheria.
Pia a...
Mtu mmoja aliefahamika kwa jina la Mussa Pwele mkazi wa mkoa wa Mbeya mwenye umri wa miaka 47 anadaiwa kummbaka mtoto wake wa mzaa.
Imeelezwa kuwa alifanya tukio hilo kwa kump...
Na Asha Charles
Hahahah! Make hapa kwanza ncheke, ama kweli hali ngumu basi bwana unaambiwa bibi aliejuliakana kwa jina la Bonnie Gooch mwenye umri wa miaka 78, ameshtakiwa kw...
Muigizaji wa Squid Game, O Yeong-su ameshtakiwa kwa unyanyasaji wa kingono baada ya kumshika mwanamke, mahakama nchini Korea Kusini wanasema.Mzee huyo mwenye umri wa miaka 78 ...