Kuelekea siku ya ugawaji wa tuzo za Tanzania Comedy Award Tarehe 22 Februari 2025, Naibu waziri wa Habari tamaduni sanaa na michezo Hamis Mwinjuma, Mwana FA amesema tukio hilo...
Mtanzania anayefanya maudhui ya vichekesho kupitia mpira wa miguu Zerobrainer ashinda tuzo ya Sports Creator of the Year TikTok Awards 2024 zilizofanyika Johannesburg South Af...
Baada ya kuwepo kwa tetesi kuhusiana na tuzo za Oscars kuahirishwa kufuatiwa na tukio la moto lililotokea jijini Los Angeles katika milima ya Hollywood, na sasa taarifa rasmi ...
Alikiba ameweka rekodi ya kuwa msanii wa kwanza ambae sio Mnigeria kushinda Tuzo ya NXT Honours Life Time Archievement Award (Tuzo ya mafanikio ya maisha Afrika) ambapo kwa mi...
Mwanamuziki Diamond Platnumz amechaguliwa na Shirikisho la Mpira Afrika CAF kuwa msanii kinara atakaye tumbuiza kwenye shereshehe za ugawaji wa tuzo za CAF 2024 zitakazofanyik...
Mwanamuziki anayetamba na wimbo ‘Komasava’ Diamondplatnumz anachuana na mastaa kutoka Nigeria katika tuzo za African Entertainment Awards USA (AEAUSA) zinazotaraji...
Mwimbaji wa Afrika Kusini, Tyla, 22, hivi karibuni ameshinda tuzo ya MTV Video Music Awards (VMAs) 2024, mafanikio haya ni somo lingine kwa staa wa Bongofleva, Diamond Platnum...
Mwanamuziki Ali Saleh Kiba, maarufu Alikiba amefunguka kuhusiana na plani zake za kuupeleka muziki wake Kimataifa kama wasanii wengine kwa kuweka wazi kuwa anamipango wa kufan...
RHOBI CHACHANi nani atakayeibuka mshindi wa tuzo za Hollywood and African Prestigious Awards (HAPAWARDS)? Ni swali linalosubiriwa kujibiwa kwenye usiku wa kinyang'anyiro cha t...
Duniani kuna tuzo nyingi kwenye sekta ya muziki ambazo hutolewa kama ishara ya heshima na mafanikio katika tasnia hiyo. Kati ya vitu ambavyo wasanii huvihesabu kama sehemu ya ...
Mwanamuziki kutoka Marekani Card B ametunukiwa tuzo ya muhamasishaji bora mitandaoni katika usiku wa tuzo za ‘Hollywood Unlocked Impact Awards’ zilizotolewa siku y...
Usiku wa kuamkia leo msanii Zuchu na Bosi wake Diamond wameshinda tuzo za Tanzania Digital Awards(TDA) ambapo Diamond ameondoka na tuzo ya msani bora wa kiume wa mwaka anayetu...