Tovuti ya Billboard imetangaza wimbo wa 'Blinding Lights' kutoka kwa The Weeknd umekuwa wimbo bora kwenye orodha ya Nyimbo 100 Bora za Karne ya 21. Blindin Light ambao ulitoka...
Na Ammar MasimbaAsilimia kubwa ya wasanii wanaochipukia na hata wale walioko tayari kwenye gemu ya muziki hawajui jinsi ya kufanya biashara ya kusambaza kazi zao. Hali hii ime...
Albamu maarufu ya SZA inayofahamika kama SOS imerudi tena kwa kishindo ambapo imeshika nafasi ya kwanza katika chati ya Billboard 200, ikiwa ni miaka miwili tangu kuachiwa kwa...
Ni ukweli usiopingika Yammi ambaye ni first born wa lebo ya The African Princess ya kwake Nandy ni mmoja kati ya wasanii wa kike Bongo wanaofanya vizuri tangu alipotambulishwa...
Na Asma HamisMwanamuziki kutoka Afrika Kusini ambaye alitamba na wimbo wa ‘Water’ Tyla ameendelea kung’ara Kimataifa na sasa ameripotiwa kushindwa tuzo ya ms...
Mwanamuziki wa Nigeria Wizkid ameandika historia nyingine katika tasnia ya muziki wa Afrobeats kwa kuachia albamu yake ya sita leo Novemba 22, 2024 iitwayo ‘Morayo&rsquo...
Na Asma HamisZimebaki zimebaki saa chache dunia ishuhudie majina ya mastaa watakaowania tuzo kubwa za muziki nchini Marekani 'Grammy', nyota wa ‘Komasava’ Diamond ...
Mwanamuziki wa Kenya Teddy Kalanda Harrison ambaye alipata umaarufu kupitia wimbo wa ‘Hakuna matata/Jambo bwana’ amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 72.Taarifa ...
Mkali wa Hip Hop kutoka Marekani Diddy ameripotiwa kukamatwa na polisi New York kufuatia tuhuma za kujihusisha na unyanyasaji wa ngono na biashara za madawa ya kulevya.Kwa muj...
Mwanamuziki William Lyimo 'Billnass' amesema kabla ya kwenda kwenye tamasha lolote ambalo atakuwa amealikwa kitu cha kwanza ambacho huwa anaangalia maslahi ya tasnia kabla ya ...
Katika Tuzo za MTV VMAs 2024 zilizotolewa jana Septemba 12 wanamuziki Taylor Swift na Post Malone waliibuka kidedea kwa kuondoka na tuzo nyingi zaidi huku‘kolabo’ ...
Mwanamuziki wa Bongo Fleva nchini, Naseeb Abdul 'Diamond Platnumz' amewekawazi kuwa ndoto yake kubwa kwa sasa ni kuwa tajiri namba moja duniani huku akiweka ahadi ya kuwa mtan...