Ikiwa ni mwendelezo wa maboresho katika mtandao wa WhatsApp ambao unadaiwa kuwa na watumiaji wengi zaidi, sasa wameweka program mpya ambayo itawasaidia watumiaji wake kuweka l...
Watumiaji wa Akili Bandia (AI) katika mitandao yao ya kijamii kama vile WhatsApp, Instagram na Facebook Messenger wataweza kutunza taarifa zao binafsi ambazo wataziweka katika...
Mwanamuziki na mwigizaji kutoka Marekani, Lady Gaga amelianika hadharani kundi la zamani la Facebook la chuo kikuu cha New York na kudai kuwa kundi hilo lilimwambia hatokuja k...
Na Aisha Lungato
Maendeleo makubwa katika masuala ya Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (Tehama) imeenda kubadilisha nyanja mbalimbali ya maisha yetu ikiwemo namna tunavyowas...
Aliyekuwa Meneja wa programu za #Facebook, Barbara Furlow-Smiles, ambaye alikuwa akikabiliwa na kesi ya ulaghai baada ya kuiba zaidi ya dola 5 milioni kutoka kwa kampuni hiyo ...
Mitandao mitandao mitandao, nimeiiita mara tatu, watu wengi siku hizi wanatumia mitandao kama sehemu ya ku-post maudhui yasiyofaa na kufanya kuwa kilinge cha umbea na kufuatil...
Kijana Naeem Shahzad mwenye umri wa miaka 35 kutoka nchini Pakstani afunga ndoa na bibi wa miaka 70.
Inaelezwa kuwa wawili hao walikutana katika mtandao wa FaceBook wakati Nee...
Kampuni ya Meta inayomiliki mitandao ya kijamii ya Facebook na Instagram Jana Alhamis Julai 6, 2023 imezindua mtandao wake mpya wa kijamii wa Threads unaofananishwa na Twitter...
Mwimbaji Coco Lee, mzaliwa wa Hong Kong aliejizoelea umaarufu katika Pop huko Asia miaka ya 1990 na 2000 amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 48.
Lee alihamia Marekani akiwa...
Ebanaee!!! ukiskia kivumbi na jasho ndo hii sasa, unaambiwa bwana Mume wa mtu kutoka nchini England aliye fahamika kwa jina la Stuart Slann, aliesafiri na gari kwa maili 400 a...