Baada ya mwanamuziki kutoka katika visiwa vya Barbados, Rihanna kushindwa kushiriki katika zoezi la kupiga kura kumchagua rais wa Marekani, sasa ameamua kutimkia katika mji al...
Mwanamuziki na bilionea wa kwanza kutoka katika visiwa vya Barbados, Rihanna amezua hofu kwa mashabiki baada ya kuvaa 'tisheti' iliyoandikwa nimestaafuRihanna alivaa tishati h...