03
Utafiti: Wanaotembea Haraka Hawana Furaha
Kwa mujibu wa utafiti uliyochapishwa katika tovuti ya ‘Research Gate’ umebaini kuwa watu wanaotembea haraka wanaviwango vya chini vya furaha.Hata hivyo kulingana n...
07
Aoa mara 53 kutafuta mwanamke wa kumpa furaha
Asma HamisMwanaume mmoja kutoka nchini Saudia aliyefahamika kwa jina la Abu Abdullah (63) amedaiwa kuoa mara 53 kwa kipindi cha miaka 43 kumtafuta mwanamke atakaeweza kumpa ut...
13
Mmiliki wa maduka China aruhusu likizo kwa wafanyakazi wasio na furaha
Manzilishi na mwenyekiti wa maduka ya rejareja ‘Pang Dong Lai’ kutoka China aitwaye Yu Donglai, ameanzisha likizo kwa ...
21
Utafiti: Wanandoa wasiotumia mitandao ndio wenye furaha zaidi
Kwa mujibu wa utafiti uliyofanywa na Chuo Kikuu cha Kansas unaeleza kuwa wanandoa ambao hawajihusishi sana na mitandao ya kijamii huwa na furaha zaidi kuliko wanaojihusisha na...
27
Mama alivyorudisha tabasamu kwa binti yake
Mwanamke mmoja kutoka Utah nchini Marekani aitwaye Daniella amerudisha tabasamu kwa binti yake wa miaka saba aitwaye Gianessa Wride baada ya kubuni njia inayoweza kuwa mbadala...
09
Zamaradi: kushindwa kwa wasanii wetu ni furaha
Kutokana na baadhi ya mashabiki kutoka nchini #Nigeria kuumizwa na kitendo cha mastaa wao kutopokea tuzo yoyote ya #Grammy, mtangazaji Zamaradi Mketema ameyatoa ya moyoni huku...
07
King Majuto alikuwa sanaa kamili
Furaha ndiyo kila kitu kwa maisha ya mwanadamu. Tunatafuta pesa ili kujenga furaha. Tunataka uongozi bora ili tuwe na furaha. Tunaoa, kuolewa na watu sahihi ili tuishi kwa fur...
06
Ahmed Ally: Mashabiki kuweni watulivu
Baada ya ‘klabu’ ya #Simba kupokea kipigo kizito cha bao 5-1 dhidi ya ‘klabu’ ya #Yanga siku ya jana, Meneja wa Kitengo cha Habari na Mawasiliano &lsqu...
14
Davido hana baya kwa Rema
Baada ya msanii kutoka Nigeria Rema kushinda Tuzo ya MTV katika kipengele cha wimbo bora wa Afro Beats kupitia wimbo wake na Selena Gomez, Davido hajakaa kimya na kuamua kuone...
06
Hawa ajifungua mtoto wa kike, Amshukuru Diamond
Mwanamuziki #HawaNtarejea ameonesha furaha yake ya kupata mtoto wa kike huku akimshukuru Diamond kwa kumsaidia katika kila hali. Kupitia ukurasa wa Instagram wa mwanadada huyo...
08
Hamisa: Utakuwa mtu ambaye dunia itajivunia
Katika kumtakia heri ya kuzaliwa mtoto wake Hamisa Mobetto ameonesha furaha yake kwa kuandika maneno ya upendo kwa mtoto huyo wa pili, ambaye siku ya leo anasherekea kumbukumb...
28
Wema Sepetu: Najali furaha yangu
Mambo mengi  muda ni mchache, yaani ukisinzia kidogo tu unapitwa aisee! Wakati wasanii wengine wakidai talaka huku wengine wanazama kwenye dimbwi la malavidavi na baadhi ...
27
Harmonize: Ndoto yangu kuwa na familia yenye furaha
Ebwana niaje mwanagu wa faida? Furaha ni kitu pouwa sana katika maisha ya mtu yoyote na ukiwa na furaha unaweza kufikiria vizuri. Basi bhana Mmakonde amefunguka kupitia Instas...
24
Mambo ya kuibua furaha katika mahusiano
Na Maria Basso Mara nyingi huwa kama zimwi ambalo halikuli likakwisha, furaha katika ndoa ni kama njaa kwenye matumbo yetu huja na kuondoka mara kwa mara .. Ungana nami katika...

Latest Post