Kheri ya mwaka mpya!Ni mwanzo wa mwaka 2025, walioajiriwa na wafanyakazi wa sehemu mbalimbali wanarudi kazini baada ya mapumziko ya sikuku za mwisho wa mwaka. Zingatia mambo h...
‘Rapa’ kutoka nchini Marekani 50 Cent anatarajia kurithi mikoba ya Diddy baada ya kampuni ya vinywaji ya ‘Vodka Ciroc’ kumfuta ubarozi Combs.
Kwa mujib...
Ikiwa leo ni sikukuu ya Wapendanao, aliyekuwa msemaji kwa ‘klabu’ ya yanga Haji Manara, ameeendeleza tambo zake katika siku hii ya leo na muda mchache uliopita ame...
Kwa mujibu wa ‘Huduma ya Umoja wa Ulaya ya Kubadilisha Tabianchi ya Copernicus’ kufuatiwa na ripoti yake iliyotolewa hivi karibuni imeeleza kuwa Januari 2024 ndiyo...
Shirika la ‘Universal Music Group’ linalojihusisha na masuala ya haki milizi za wasanii limeamua kuondoa nyimbo zake katika mtandao wa kijamii wa TikTok baada ya k...
Mwanaume mmoja kutoka nchini #Ghana, aitwaye Patrick Amenuvor ameshindwa kuvunja rekodi ya dunia (Guinness World Record) ya kusimama muda mrefu zaidi.
Amenuvor alianza kusimam...
Bondia Hassan Mwakinyo Januari 27 atapambana ulingoni kuwania ubingwa wa WBO Afrika ambapo atapambana na bondia tofauti na yule aliyetangazwa awali Erick Msambudzi kutoka Zimb...
Waruka sarakasi maarufu nchini Ramadhani Brothers ambao wanaipeperusha Bendera ya Tanzania, katika mashindano makubwa ya kusaka vipaji hatimaye wanaingia tena stejini Jumatatu...
Zikiwa zimepita siku saba tangu kuzinduliwa sanamu ya mwanamuziki kutoka Colombia Shakira, shabiki wa ‘rapa’ 6ix9ine kutoka nchini Cuba naye ameamua kuonesha mapen...
Inadaiwa kuwa ‘klabu’ ya #AlNassrFC ya #SaudiArabia imefanya mazungumzo na nyota wa #Ureno, #CristianoRonaldo juu ya nyongeza ya mkataba mpya wa kuendelea kusalia ...
Mwanamuziki kutoka nchini #Marekani #Drake ametangaza ziara ya pamoja na J.Cole ambayo wameipa jina la ‘It’s All A Blur Tour – Big As the What?’ ikiwa ...
Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imetoa tamko la kuzifunga laini zote ambazo hazikuhakikiwa. Mamlaka hiyo imeeleza maamuzi hayo yana lengo la kumlinda mtumiaji dhidi ya ...