Mahakama ya rufaa ya shirikisho nchini Marekani, imeunga mkono hukumu ya R. Kelly ya kifungo cha miaka 30 jela iliyotokana na kesi zilizokuwa zikimkabili za biashara ya usafir...
Mwanamuziki maarufu wa Pop duniani, Rihanna (36) alifika mahakamani kufuatilia mwenendo wa kesi inayomkabili mpenzi wake na mzazi mwenzie, Asap Rocky (36) ambaye anashtakiwa k...
Mshtaki wa ASAP Rocky ambaye ni rafiki yake wa zamani ASAP Relli, anaripotiwa kutoa ushahidi siku ya jana Januari 28 kwa kuelezea mashtaka mawili ya unyanyasaji aliofanyiwa No...
Kwa kawaida tumezoea kuona kuwa wasanii hutunga na kutoa wimbo kwa ajili ya kufurahisha na kuburudisha jamii, lakini hii ni tofauti kutoka katika kijiji kilichopo Meghalaya Ko...
Ombi lililowasilishwa la kumkamata rapa Nick Minaj kufuatiwa na kesi ya kumpiga aliyekuwa meneja wake wa zamani, limekataliwa kutokana na kutokuwa na ushahidi wa kutosha Msema...
Kama unajidanganya kuwa umeshawahi kuona kila kitu kwenye dunia hii basi nakujuza kuwa bado kunavitu haujawahi kuviona kabisa. Kibongo bongo baadhi ya vijana wanagoma kuoa huk...
Usiku wa kuamkia leo Desemba 23,2024 imefanyika sherehe ya kumbukizi ya siku ya kuzaliwa ya msanii na mfanyabiashara Shilole ambaye aliambatanisha sherehe hiyo pamoja na kufur...
Familia ya mwanamuziki wa hip hop Marekani, Diddy ikiingia Mahakamani kwa ajili ya kuomba dhamana kwa mara ya tatu.Kwa mujibu wa Fox News wanasheria wa Diddy wamepeleka tena o...
Ni kawaida kuona povu linalofanana na mate kwenye mimea hasa asubuhi au kipindi cha masika. Povu hilo wengi huamini ni mate ya nyoka na kusababisha kuogopa kuyashika.Licha ya ...
Mwigizaji wa Marekani Jamie Foxx amedai kuwa yupo tayari kuzungumzia changamoto na mapito aliyoyapitia wakati alipokuwa mahututi.Foxx anatarajia kuelezea mapito hayo kupitia o...
Na Michael Onesha Mtu wa kwanza kutambua na kuamini kuwa wewe ni wa thamani anatakiwa kuwa wewe mwenyewe. Jione na jiamini kuwa mtu wa thamani kubwa na mwenye vingi, usikubali...