King Bad, Marioo ametusanua kwamba Video ya wimbo wa ‘Why’ kutoka kwenye album yake ya ‘The Godson’ imeghalimu zaidi ya Sh 56 milioni mpaka kukamilika ...
Muigizaji kutoka nchini Marekani, Aaron Paul amedai kuwa kampuni ya kuuza ‘movie’ Netflix haijamlipa mirabaha yake kutoka katika tamthilia ya Breaking Bad.Tamthili...