Kupitia ukurasa wake wa instagram msanii kutokea Lebo ya WCB amewashukuru mashabiki zake kwa muitikio mkubwa waliuonesha baada ya kuachia kionjo cha wimbo wake wa‘Inaman...
Msanii wa WCB D Voice ametoa angalizo kwa wasanii wa singeli kutotoa nyimbo Desemba 31,2024 kwani watakula hasara.“Wale Wasanii wa Singeli mnaosubiria mtoa nyimbo tarehe...
Mwanamuziki Bongo Fleva nchini Maua Sama alia na watu ambao wameushusha wimbo wake wa ‘Kariakoo’ uliokuwa ukifanya vizuri katika mtandao wa Youtube.Maua muda mchac...
Baada ya wadau mbalimbali wa muziki Bongo kutafsiri vibaya baadhi ya maneno katika wimbo wa mwanamuziki Lavalava uitwao ‘Kibango’ kuwa hauna maadili kwenye maneno ...
Baada ya mwanamuziki Lavalava kudai kuwa aliwahi kutoka kimapenzi na mwanadada Lulu Diva na kuwa kwa sasa amebaki kuwa kama dada kwake, msanii Diva amemjia juu Lavalava kwa ku...
Mwanamuziki wa BongoFleva #Lavalava awajibu watu wanaosema kuwa anajitenga na yupo kimya tofauti na wasanii wengine.
Akizungumza na moja ya chombo cha habari nchini msanii huy...
Hahaha! Make hapa kwanza ncheke wakati wewe ukihangaika kumposti mtoto wa mama mkwe mitandaoni wenzako huku wanaogopa kutupostia majina ya mababy zao, bwana msanii wa bo...
Oooyeeeeh! It’s monday mtu wangu leo bwana kwenye gumzo mitandaoni sio poa yanii watu wanapendana halafu hamsemi watu mnasiri sana bwana hahhaha!
Aiseee acha nikupe haba...