Albamu ya A Father Figure kutoka kwa mkali wa Hip Hop, Dizasta Vina iliyotoka Januari 6, 2024 ikiwa imeshiba ngoma kama Theluji, Nobody is safe 5, Hatia VI, Not A Hero, Chupa ...
Mwanamuziki kutoka Uganda Joseph Mayanja maarufu Jose Chameleone amefunguka siri ya mafanikio yake yanayomfanya andelee kukubalika katika tasnia ya muziki kwa kuweka wazi kuwa...
Peter Akaro
Usiku wa kuamkia leo katika ukumbi wa Peacock huko Los Angeles, Calfornia nchini Marekani kumetolewa tuzo za BET 2024 ambapo Usher Raymond IV na Tyla ndio mastaa w...
Bondia wa ngumi za kulipwa kutoka Marekani, Mike Tyson ameweka wazi kuwa kwa sasa anakula nyama mbichi kwa ajili ya kujiandaa na pambano lake dhidi ya Jake Paul linalotarajiwa...
Willow Smith ambaye ni mtoto wa mwigizaji kutoka nchini Marekani, Will Smith, ameweka wazi kuwa mafanikio aliyonayo hayatokani na wazazi wake bali ni juhudi zake mwenyewe.Will...
Kiungo wa ‘klabu’ ya #Sunderland, Jobe Samuel Bellingham agombaniwa na ‘vilabu’ kadhaa barani Ulaya ikiwemo #Chelsea na #TottenhamHotspur kwa ajili ya ...
Ikiwa tunaelekea kuumaliza mwaka 2023, wapo baadhi ya wasanii ambao wanatamani mwaka huu uishe ili wajaribu tena mwakani lakini wapo waliobahatika kuandika historia kwen...
Rais wa klabu ya #Yanga Eng Hersi Saidi ameeleza kuwa mafanikio ya klabu yake kwa zaidi ya asilimia 80 yamechangiwa na uwepo wa mdhamini wa klabu hiyo Ghalib Said Mohamed.
Ame...
Mwanamziki na muigizaji kutoka nchini Marekani T.I ambaye amekuwa kwenye mziki wa hip-hop kwa zaidi ya miaka 25, amefunguka kustaafu kuimba na kuangalia miradi yake mingine.
K...
Baada ya msanii kutoka Nigeria Rema kushinda Tuzo ya MTV katika kipengele cha wimbo bora wa Afro Beats kupitia wimbo wake na Selena Gomez, Davido hajakaa kimya na kuamua kuone...
Mwanamuziki kutoka nchini Nigeria Rema, ameweka wazi kuwa matamanio yake kwa sasa ni kufanya ‘kolabo’ na rapper Nicki Minaj & Megan Thee Stallion.
Rema ameyase...
Mwanamuziki na mtangazaji #BabaLevo amedai dalili za mtu kuwa masikini nifanya roho mbaya isiyo na sababu kwa kushangilia matatizo ya mwenzako.
Akiwa katika Interview na mmoja...