04
Diddy Na Cassie Wafunguliwa Mashtaka
Wakati kesi ya mkali wa muziki wa hip hop, Sean "Diddy" Combs ikikalibia kutamatika huku hukumu ikitarajia kutolewa Octoba mwaka huu, sakata jingine limeibuka ambapo mwanaume ...
04
Sababu Iliyopelekea Frida Amani Kuacha Kuwa Rapa Wa Kawaida
Mwanamuziki wa Hip Hop nchini Frida Amani ameeleza njia anazozifanya ili kuwa bora katika muziki huo kila siku akitaja kuwa ni kujifunza, kufanya kazi kila siku pamoja na kuwe...
03
Angelique Kidjo Kutunukiwa Hollywood Walk Of Fame 2026
Mwanamuziki nguli kutoka Benin na bara la Afrika kwa ujumla, Angelique Kidjo, ameandika historia kwa kuteuliwa kuwa miongoni mwa wasanii watakaopata nyota katika Hollywood Wal...
03
Wawili wakabidhiwa tuzo za muziki wa injili
Wanamuziki wa nyimbo za injili nchini Alex Msama na Smart Boy leo Julai 3,2025 wameshinda tuzo ya EAGMA 'East Africa Gospel Music Awards'.Katika tuzo hizo zilizotole...
03
Diamond aeleza jinsi anavyotumia fursa kuwa nyota wa kimataifa
Nyota wa muziki nchini Diamond ameeleza namna anavyotumia muziki wake kupenya kimataifa huku akifunguka kuachia albamu mpya itakayotoka Septemba, iliyosheheni kolabo mbalimbal...
03
Miaka 10 Jela Yanukia Kwa Diddy, Akutwa Na Hatia Mashtaka Mawili
Baada ya jopo la majaji kutoa uamuzi usiokamilika na kuifanya mahakama kuwarudisha tena kujadili kuhusu kesi ya rapa Sean Diddy Combs, hatimaye uamuzi wa kesi hiyo umekamilika...
02
Kanye West Azuiwa Kuingia Australia Kisa Wimbo
Mwanamuziki kutoka Marekani Kanye West ambaye kwa sasa anajitambulisha kama ‘Ye Ye’, amezuiliwa rasmi kuingia nchini Australia baada ya serikali kufuta visa yake k...
02
Majaji wapitisha makosa manne kesi ya Diddy
Majaji ambao wanasimamia maamuzi kwenye kesi ya rapa Sean “Diddy” Combs wameripotiwa kufikia uwamuzi kwenye baadhi ya kesi huku kesi ya kufanya uhalifu wa kupanga ...
02
Kumbe MJ aliokoka wiki mbili kabala ya kifo chake
Inaelezwa kuwa Mfalme wa muziki wa Pop Michael Jackson, alikuwa si tu mtu aliyegusa mioyo ya watu kupitia muziki wake bali alimpenda Mungu wakati wote.Kabla ya kifo chake Juni...
02
Huyu Ndio Alikuwa Mwanamke Mpweke Zaidi Duniani
Wakati wewe ukilalamika watu kutokupigia simu kwa siku mbili au moja na kujiita mpweke kwa upande wa Joyce Carol Vincent, raia wa Uingereza mwenye miaka 38, anatajwa kuwa ndio...
02
Aaliyah katika ndoto za Ramos kumpata Pilar
Misimu 16 ilimtosha Sergio Ramos (39), kuitumikia Real Madrid akiwa beki wa kati. Ndoto nyingi kama mchezaji amezitimiza hapa, Santiago Bernabeu ilimpa kila kitu akishinda mat...
01
Muziki wa reggae unavyotumika kuchochea fikra za ukombozi Afrika
Peter Elias, MwananchiDar es Salaam. Je, umewahi kusikia siku ya muziki wa reggae duniani? Basi, siku hiyo ipo, ni leo. Siku hii huadhimishwa Julai Mosi ya kila mwaka ambapo u...
01
Kesi Inayomkabili Chris Brown Yafutwa
Kesi ya madai inayomkabili mwanamuziki kutoka Marekani, Chris Brown ya kumpiga na chupa mtayarishaji wa muziki Abe Diaw tukio lililotokea jijini London kwenye moja ya klabu ya...
01
Majadiliano yaendelea hatma ya Diddy
Majaji wameanza majadiliano rasmi katika kesi inayomkabili rapa maarufu wa Marekani, Sean “Diddy” Combs, ambaye anakabiliwa na mashitaka ya usafirishaji wa binadam...

Latest Post