Washiriki wa mashindano ya Miss Tanzania wameihimiza Serikali kuimarisha zaidi mazingira ya uwakala wa bidhaa za kimataifa za vipodozi ili kupunguza changamoto ya mianya ya bi...
Miss Kinondoni Gift Moureen, mlimbwende anayechipukia kwa kasi ameeleza kwa undani kuhusiana na safari yake ya urembo na kusema anataka kuona siku moja anatwaa taji la Taji la...
Hatimaye kati ya warembo 20 waliokuwa wakishindania Taji la Miss Tanzania, mrembo Tracy Nabukera, ameibuka kidedea kwa kuondoka na taji hilo, ambalo alivalishwa na aliyekuwa M...
Wakati Miss Tanzania wakiendelea kujichua na mashindano, hatimae waandaaji wa mashindano ya ulimbendwe Duniani (Miss World) wameweka wazi fainali za mwaka huu zitafanyika Dese...
Shindano kubwa la urembo nchini, la Miss Tanzania limeanza rasmi kwa Warembo 20 wanaowakilisha maeneo mbalimbali kuingia kambini siku ya jana. Maisha halisi ya Warembo hao ka...