Kupitia ukurasa wake wa instagram msanii kutokea Lebo ya WCB amewashukuru mashabiki zake kwa muitikio mkubwa waliuonesha baada ya kuachia kionjo cha wimbo wake wa‘Inaman...
Nyota wa Afrobeats kutoka nchini Nigeria Ayra Starr, amejigamba kwa kudai kuwa amepata umaarufu katika muziki akiwa na umri mdogo.
Msanii huyo ameyasema hayo akiwa katika maho...
Mwigizaji Kajala Masanja amemuomba radhi mzazi mwenziye Paul Matthysse maarufu kwa jina la 'P Funk Majani' kutokana na migogoro waliyokuwa wakipitia kwa muda mrefu.
Kajala ame...
Mwigizaji maarufu kutoka nchini Marekani Will Smith ameweka wazi kuwa anapenda sana kuwa maarufu kwani unamfanya ajiskie kuwa salama zaidi.
Will ameyasema hayo siku ya Jana Ju...
Baadhi ya mastaa wa soka wanapenda maisha ya bata nje ya uwanja, kununua ndinga kali, nyumba, na mambo mengine pia wapo wanaopenda kuvaa na kupendeza. Hawa hapa mastaa kumi wa...
Aliyekuwa msemaji wa ‘klabu’ ya Yanga, Haji Manara kupitia ukurasa wake wa Instagram ameeleza hisia zake kuhusiana baada ya kukosa kutazama ‘mechi’ liv...
Baada ya kuwa na story nyingi kuhusiana na mtangazaji maarufu nchini Diva kuto badilisha ‘wigi’, hatimaye amevunja ukimya na kuweka sawa jambo hilo, wakati akifany...
Mama mzazi wa Paula, Kajala kupitia kipindi chao cha reality show amefunguka kwa kueleza kuwa binti yake anapenda pesa kuliko kitu chochote.
Kupitia video hiyo Kajala amesema ...
Baada ya mkali wa sauti #Alikiba kutoa ngoma ya Amapiano inayoenda kwa jina ka #Sumu aliyo mshirikisha #Marioo, Chawa wa Taifa Baba Levo, ameonekana kuvutiwa na ngoma hiyo na ...
Mmiliki Mpya wa Mtandao wa Twitter, Elon Musk bado anaendelea kuwajibu na kuwakera watumiaji wa mtandao huo ambao wanalalamika kuhusu mchakato wake wa kutaka kulipisha do...