Baada ya mwigizaji nguli wa Bollywood kutoka India Saif Ali Khan kufanyiwa upasuaji wa dharura baada ya kushambuliwa na jambazi na kuchomwa kisu, hatimaye madakatari wameweka ...
Mauzauza, Ashua, Hakuna Kulala, raha na Wana ni baadhi ya nyimbo za mwanamuziki wa WCB Zuchu zilizomtambulisha kwenye gemu mwaka 2020 baada ya kutambulishwa kwenye lebo hiyo y...
Mwanamuziki mkongwe wa muziki wa dansi Tanzania, Boniface Kikumbi maarufu King Kikii amefariki dunia usiku wa kuamkia leo Ijumaa Novemba 15, 2024 akiwa anapatiwa matibabu kati...
Nyota wa Hollywood Lupita Nyong’o, amefunguka namna alivyoamua kuacha kuiga lafudhi ya Kimarekani na kurudi kwenye lafudhi yake ya asili ya Kikenya licha ya kuwa aliific...
Mkali wa Hip-hop Marekani Diddy ametajwa kuwa ni mmoja wa wawekezaji waliomsaidia Elon Musk kununua mtandao wa X (zamani twitter) mwaka 2022.Kwa mujibu wa tovuti ya Tmz imeele...
Mrembo na mfanyabiashara Poshqueen amefunguka kuhusu kuvunjika kwa ndoa yake aliyowahi kufunga mwaka 2020 na John ambaye ni raia wa Nigeria huku chanzo kikubwa kikitanjwa kuwa...
Mtoto wa kiume wa rapa kutoka nchini Marekani, #LilDurk, Romeo (10) anadaiwa kumpiga risasi baba yake wa kambo, kwa ajili ya kumtetea mama yake wakati wa mzozo.
Kwa mujibu wa ...
Mshambuliaji wa ‘klabu’ ya #ManchesterUnited, #MarcusRashford ameripotiwa kuweka wazi mipango yake baada ya kuwepo kwa tetesi za kuondoka katika ‘timu’...
Kinda wa Uturuki Arda Guler amevunja rekodi ya Cristiano Ronaldo ya kuwa mchezaji mwenye umri mdogo zaidi kufunga bao kwenye ‘mechi’ yake ya kwanza kwenye mikikiki...
Nyota wa muziki nchini, Harmonize na Rayvanny,wametangaza ujio wa ngoma yao mpya ikiwa ni ngoma inayosubiriwa kwa hamu.
Tangazo hilo la ujio wa ngoma hiyo ya pamoja limezua gu...
Mwanamuziki wa Canada Celine Dion, ameweka wazi kuwa ugonjwa aliokuwa nao wa ‘Stiff Person Syndrome’ ulianza kumsumbua toka mwaka 2008.
Dion ameyasema hayo wakati ...
Wakati bifu la wanamuziki kutoka Marekani Drake na Kendrick Lamar likiwa limepowa kwa muda, ‘rapa’ Lamar anaendelea kukimbiza na kuonesha ubabe katika chati za Bil...
Mwanaume mmoja kutoka nchini Marekani aliyefahamika kwa jina la Ronnie Wiggs ameshitakiwa kwa kosa la kumuua mkewe akiwa Hospitali baada ya kushindwa kulipa ‘bili’...