Show ya Halftime ya Super Bowl imekuwa ikifanya vizuri miaka yote, ikianza kama tukio dogo la maandamano ya kutumia bendi na kisha kuwa tamasha kubwa linalowavutia mastaa wa m...
Ni wazi kuwa Barakah The Prince ni miongoni mwa wanamuziki waliojaliwa vipaji vikubwa hasa upande wa uandishi, sauti na melodi za kuvuti zilizofanya jina lake kuwa kubwa katik...
Unafahamu kuwa mfanyabiashara na mwanamitandao Zari the Boss Lady, awali alikuwa mwanamuziki?Zari aliingia kwenye muziki mwaka 2007 ambapo alirekodi wimbo wake wa kwanza uitwa...
Na Peter AkaroStaa wa Bongofleva, Nandy tayari ametangaza ujio wa albamu yake ya pili ambayo inatarajiwa kutoka mwaka huu ikiwa ni miaka tisa tangu alipotoka kimuziki na kibao...
Binti wa mfalme kutoka Dubai Princess Mahra bint Mohammed bin Rashid Al Maktoum, ameripotiwa kuzindua manukato yaitwayo ‘Divorce’ (Talaka) baada ya kuachana na mum...
Mashabiki wamemnanga mwanamuziki wa Marekani John Legend baada ya kuimba vibaya wimbo wa marehemu mwanamuziki Price katika mkutano wa Kitaifa wa Kidemokrasia (DNC).Kupitia mit...
‘Rapa’ kutoka nchini Marekani ambaye pia alikuwa mpenzi wa mtoto wa Bob Marley, Rohan Marley, Lauryn Hill ametunukiwa tuzo ya heshima na ‘Apple Music’ ...
Baada ya jana mshambuliaji wa Azam FC, Prince Dube kufuta utambulisho na picha zote alizopiga akiwa na jezi za timu hiyo, leo ameendeleza kuonyesha kuwa haitaki tena timu hiyo...
Wakati sakata la mshambuliaji Prince Dube na ‘timu’ yake ya Azam FC likizidi kupamba moto, ripoti zinafichua kwamba Mzimbabwe huyo amefuta utambulisho na picha zak...
Ukifanya kazi nzuri inavuta wengine kujifunza je, unataka kuamini hilo, hiki ndicho alichokisema msanii wa #Bongofleva, Baraka the Prince, kuhusu kipa wa Yanga, #DjiguiDiarra ...
Nyota wa ‘klabu’ ya Inter Miami, Messi amefunguka na kueleza kuwa ‘timu’ aliyokuwa akiichzea hapo awali ya PSG haikumpa heshima baada ya yeye kushinda ...
Baada ya kuwa na tetesi kuhusiana na mchezaji kutoka ‘klabu’ ya PSG Kylian Mbappe kuondoka katika ‘timu’ hiyo.
Tetesi hizo zimeanza kuthibitika baada y...
Waokoaji wamekuwa wakikimbizana na muda kuitafuta manowari ya kitalii iliyopotea siku ya Jumapili karibu na kisiwa cha Newfoundland, Canada katika bahari ya Atlantiki. Chombo...