09
Chatu Mandota Awachana Wanaosema Hajui Kuigiza
Mwigizaji na mchekeshaji kutoka nchini Chatu Mandota ambaye kwa sasa anashiriki kwenye tamthilia mpya ya Vacation inayoongozwa na Jacob Steven ‘JB’ amewataka baadh...
09
Zuchu anastahili saluti ya Dulla Makabila
"Zuchu hata asingekuwa msanii wa Bongo Fleva angetokea tu mitaa ya pale kama msanii wa Singeli na bado angekuwa staa, anajua sana kuimba Singeli."Hii ni kauli aliyoitoa hivi k...
09
Room Number 3 Ya Mbosso Kutoka Juni 12
Msanii wa Bongo Fleva, Mbosso ameweka wazi kwamba Juni 12, 2025 ataachia Ep yake inayokwenda kwa jina la ‘Room Number 3’.Kabla ya kuweka wazi jambo hilo, kwa siku ...
09
Wanasheria wa Diddy waomba kesi ifutwe
Timu ya wanasheria wa Sean “Diddy” Combs, imeomba kesi inayomkabili rapa huyo kufutwa au kusitishwa kutokana na mapungufu katika ushahidi uliotolewa na baadhi ya w...
09
Usiyoyafahamu kuhusu binti wa Tesa anayeendeleza alipoishia mama yake
Unaweza kusema ni furaha na huzuni kwa mashabiki wa marehemu Grace Mpunda ‘Tesa’ aliyekuwa akiigiza tamthilia ya Huba....
07
Hali Tete Kwa Diddy, Ushahidi Wazidi Kumkandamiza
Juni 6, 2025, katika Mahakama ya Shirikisho ya Manhattan, kesi ya jinai dhidi ya mwanamuziki Sean "Diddy" Combs iliendelea kwa ushahidi wa kushtua kutoka kwa aliyekuwa mpenzi ...
07
Mtihani wa kwanza kwa Mbosso nje ya WCB ni huu!
Kiu ya mashabiki wengi wa Bongofleva kwa sasa ni kuona Mbosso anakuja vipi na kazi yake ya kwanza baada ya kuachana na WCB Wasafi, rekodi lebo yake Diamond Platnumz ambayo kaf...
07
Whitney Houston In Focus Yaibua Mengi
Dokumentari iliyopewa jina la 'Whitney Houston in Focus' imeibua mengi kuhusu mwanamuziki huyo wa Soul, RnB na Pop kutokea Marekani ikielezea maisha yake kabla ya ku...
07
Chuchu Hansy: Nipo njia panda kuolewa na Ray
Mwigizaji wa filamu nchini, Chuchu Hansy anaonesha kubaki njia panda kila linapokuja suala la kuolewa na mwigizaji  Ray Kigosi. Akizungumza na Mwananchiscoop, Chuchu ames...
06
Mama Carina Afariki Dunia, Apishana Siku 40 Na Mwanaye
Fatma Maruzuku ambaye ni mama mzazi wa Marehemu Hawa Hussen (Carina), amefariki dunia leo June 06,2025 jijini Dar es Salaam.Kaka wa Marehemu amethibitisha kutokea kwa msiba hu...
06
Listi Ya Wasanii D Voice Atakaowasaini Kwenye Lebo Yake
Mwanamuziki wa Bongo Fleva nchini ambaye pia ni mkali wa Singeli, D Voice amewataja wasanii ambao anatamani kuwasaini endapo ataanzisha lebo ya Singeli.Wakati alipokuwa kwenye...
06
Michael B. Jordan Aukubali Ushauri Wa Washington
Mwigizaji Michael B. Jordan ameeleza kuwa moja ya jambo ambalo analikumbuka siku zote ni ushauri alioupokea kutoka kwa Denzel Washington ambapo alimsihi kuepuka mitandao ya ki...
06
Hii Ndio Maana Ya RN3 Ya Mbosso
Baada ya kuwepo kwa tetesi katika mitandao ya kijamii kuwa mwanamuziki Mbosso naye anatarajia kuoa kufuatia na hastag ya ‘RN3’ aliyoiweka katika Instagram yake. Ha...
06
Jaji Ambadilikia Diddy Mahakamani
Jaji wa shirikisho anayeongoza kesi ya ya usafirishaji wa binadamu kwa ajili ya ngono dhidi ya Sean "Diddy" Combs, Jaji Arun Subramanian alimbadilikia msanii huyo na majaji wa...

Latest Post