Na Peter AkaroStaa wa Bongofleva, Nandy tayari ametangaza ujio wa albamu yake ya pili ambayo inatarajiwa kutoka mwaka huu ikiwa ni miaka tisa tangu alipotoka kimuziki na kibao...
Baada ya mwigizaji nguli wa Bollywood kutoka India Saif Ali Khan kufanyiwa upasuaji wa dharura baada ya kushambuliwa na jambazi na kuchomwa kisu, hatimaye madakatari wameweka ...
Asma HamisKila ifikapo Alhamisi ya kwanza ya mwezi Novemba dunia inaadhimisha siku ya Wanaume kupika au kuandaa chakula cha jioni.Kwa mujibu wa tovuti ya ‘National Day C...
Watoto saba wa mkali wa Hip Hop kutoka Marekani ambaye kwa sasa yupo gerezani kwa tuhuma za unyanyasaji wa kingono, jana Novemba 4, wamesheherekea siku ya kuzaliwa kwa baba ya...
Kila kitu kimebadilika. Hata Hayati Magufuli naye akiibuka hii leo atastaajabu vitu vingi. Ulitegemea Bunge hili kuwa nje ya mikono ya Job Ndugai? Ulitegemea Alikiba kuhamia S...
Mwigizaji kutoka Marekani Channing Tatum amefunguka kuwa aliwahi kununua mashati kwa mwaka mzima kutokana na kuchukia kufua.Channing Tatum ameyasema hayo wakati alipokuwa kwen...
Ubunifu ni kati ya kitu muhimu kwa wasanii kama njia ya kuwapa utambulisho na kuwafanya waendelee kujitengenezea utofauti. Ili kuwa na utofauti wapo waliowekeza ubunifu kwenye...
Ikiwa imepita siku moja tangu mwanamuziki wa zamani wa Bongo Fleva ambaye kwa sasa anaishi jijini Paris, Ufaransa Rehema Chalamila ‘Ray C’ kuwataka wasanii wenye u...
Msanii wa filamu na muziki wa kizazi kipya, Shilole amesema kukosea kwake kuzungumza Kiingereza huwa anafanya makusudi ili watu wacheke.
Shilole anayejishughulisha pia na bias...