Mtandao wa kuuza na kusikiliza muziki Spotify umetoa orodha ya wasanii na nyimbo zinazosikilizwa zaidi nje ya nchi katika muhula wa nusu mwaka wa 2025.Kwa mujibu wa ripoti hiy...
Muziki ukiwa kazi kama kazi nyingine umeweza kuwa na nguvu ya kubadilisha maisha ya watu. Sio tu wasanii bali hata watu ambao hupata fursa ya kucheza nafasi mbalimbali kwenye ...
Mkongwe wa filamu nchini India, Anupam Kheri amesema kuwa licha ya kuwa na fedha za kutosha, amechagua kuishi kwenye nyumba za kupanga kwa maisha yake yote. Mkongwe huyo ambay...
Kama umekuwa ukijiuliza maswali kuhusu mwanadada anayeonekana mwanzoni mwa filamu nyingi za ‘Columbia Picture’ basi haya ndio majibu halisi kuhusu mwanamke huyo.Ji...
Mkongwe wa muziki wa dansi na mwenyekiti wa bendi ya Twanga Pepeta, Asha Baraka 'Iron Lady' ametoa wito kwa wasanii wa Bongo Fleva wakiwemo Lady Jaydee, Nandy na Zuc...
Mwanamuziki wa Bongo Fleva nchini Diamond Platnumz ameweka wazi namna alivyofunga ndoa na msanii wake Zuchu bila kushirikisha familia yake akiwemo mama yake mzazi.Wakati alipo...
Na Rosalynn Mndolwa - MworiaIlikuwa jioni ya Jumatatu, Aprili 28, 2025 katika Hoteli ya Serena jijini Dar es Salaam. Ukumbi ulijaa viongozi wa juu wa Nation Media Group na Mwa...
Mwigizaji anayetamba katika tamthilia ya ‘Kombolela’ Happy Swebe maarufu kama ‘Tabu wa Kombolela’ amefunguka ugumu anaopitia katika uhusika wake wa bub...
Moja ya kitu ambacho kimekuwa kigumu kukipata kwa rapa wengi wa sasa ni kuchana mitindo huru 'Freestyle'. Hii ni mistari ambayo inashushwa moja kwa moja bila kuandik...
Bondia maarufu duniani, Mike Tyson ambaye anatambulika pia kutokana na tattoo kubwa aliyonayo upande wa kushoto wa uso wake. Anadai halikuwa wazo lake kuchora tattoo ya namna ...
Ni wazi kuwa mtanange wa Mashindano ya Kombe la Mataifa ya Afrika kwa Wachezaji wa Ndani (CHAN) 2024, unaendelea kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa Dar es Salaam.Licha ya mashind...
Unaambiwa sio lazima ila ni muhimu kulipa fadhila kwa mtu aliyekusaidia na kukushika mkono kabla hujajipata. Hicho ndicho amekifanya msanii wa Bongo Fleva, Maua Sama kwa msani...
Jaji wa shirikisho Arun Subramanian amekataa ombi la dhamana la Sean "Diddy" Combs katika uamuzi mpya uliotolewa mapema jana Jumatatu, Agosti 4,2025.Hii inakuwa mara ya tano k...
Kaondoka Chama. Kwenye nyoyo za wana Simba na wana Yanga. Sio yule aliyewaendesha atakavyo kwa pasi zenye macho. Utulivu langoni kwa adui. Na kuburuza mabeki kama viroba vya m...