Albamu ya A Father Figure kutoka kwa mkali wa Hip Hop, Dizasta Vina iliyotoka Januari 6, 2024 ikiwa imeshiba ngoma kama Theluji, Nobody is safe 5, Hatia VI, Not A Hero, Chupa ...
Na Asma HamisMwanamuziki kutoka Afrika Kusini ambaye alitamba na wimbo wa ‘Water’ Tyla ameendelea kung’ara Kimataifa na sasa ameripotiwa kushindwa tuzo ya ms...
Mwanamuziki anayetamba na EP aliyoipa jina la ‘Starter’, Alikiba amewajibu baadhi ya watu wanaodai kuwa msanii huyo ni jeuri.Alikiba amefunguka kupitia mahojiano y...
Tarehe kama ya leo mwanamuziki kutoa Marekani Tupac Shakur alifariki dunia baada ya kupigwa risasi katika mitaa ya Los Angeles nchini humo.Ikiwa ni miaka 28 sasa imepita tangu...
Kwa kawaida kicharazio maarufu ‘keyboard’ za simu janja ama kompyuta huwa na mpangilio usiofuata mtiririko, yaani haianzii A-Z badala yake herufi zimechanganyika.K...
Na Michael Anderson
Nikizungumza kuhusiana na kufanya tafiti ‘research’ kwa wanafunzi wa chuo si jambo geni kabisa, mara nyingi hupewa wanafunzi wanaokaribia kuhit...
Mwanariadha kutoka nchini Kenya aitwaye Peres Jepchirchir amevunja rekodi ya dunia ya ‘Guinness World Record’ kwa upande wa wanawake kwa kukimbia mbio ndefu za Lon...
Imekuwa kawaida baadhi ya watu, kusahau sehemu ambayo wameacha simu zao. Jambo hili huumiza kichwa zaidi ikiwa simu imewekwa ‘silent’, kwani hata mmiliki aki...
Mwanamuziki wa Hip-hop nchini, #ChidiBenz amefungukua na kudai kuwa hakupata kitu baada ya #DiamondPlatnumz kuingiza mstari kwenye wimbo wake mpya uitwao ‘Tunaishi nao&r...
‘Rapa’ mkongwe kutoka nchini #Marekani #SnopDogg ametangaza rasmi kuacha kuvuta sigara.Kupitia ukurasa wa #Instagram wa mkali huyo ameweka wazi suala hilo kwa kuel...
‘Rapa’ kutoka nchini Marekani, #Offset atangaza ujio wa albumu yake mpya itakayotoka mwakani mwezi Februari baada ya albumu yake iitwayo ‘Set It Off’ a...
Muigizaji kutoka nchini Marekani mwenye umri wa miaka 50 Tyler Christopher amefariki dunia kwa mshituko wa moyo nyumbani kwake San Diego siku ya jana Jumanne.
Inaelezwa kuwa n...