24
Yanayombeba Burna Boy Kimataifa
Mkali wa Afrobeat kutoka Nigeria, Burna Boy, anaendelea kung’ara kimataifa kufuatia uwezo wake wa kuchanganya Afrobeat na miondoko mingine kama reggae, dancehall, na pop...
24
Jose Chameleone Arudi Kazini
Mwanamuziki kutoka nchini Uganda, Jose Chameleone anatarajia kufanya show kwa mara ya kwanza baada ya kutoka kwenye matibabu nchini Marekani. Kupitia ukurasa wake wa Instagram...
24
Hii ndiyo bendi iliyotumbuiza siku Tanganyika inapata uhuru
Unaifahamu Kilwa Jazz Band, ambayo ilipoanza ilikuwa inapiga nyimbo zake kwa mitindo mbalimbali ikiwemo Rhumba, Chacha, Samba, Bolelo na kadhalika, lakini ilikuwa na sifa maal...
23
Watoto Wa Beyonce Na Zigo La Umaarufu
Mama mzazi wa mwanamuziki Beyoncé, Tina Knowles ameeleza jinsi alivyo na wasiwasi juu ya changamoto ambazo wajukuu wake wanakumbana nazo kutokana na umaarufu wa familia...
23
Waziri Mkuu Azindua Mfumo Wa Usimamizi Na Uendeshaji Kazi Za Sanaa
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amezindua mfumo wa Usimamizi na Uendeshaji Kazi za Sanaa unaojulikana TAUSI wa OR-TAMISEMI na AMIS wa BASATA ambao unaunganisha Baraza la Sanaa Tan...
23
Hata kina Beyonce, Rihanna wana lebo zao
Peter AkaroTofauti na Tanzania, rekodi lebo nyingi za wasanii hasa nje ya bara la Afrika, zimekuwa na utamaduni wa kuingia makubaliano ya kufanya kazi na lebo kubwa ambazo zin...
23
Huyu ndiyo adui wa mafanikio yako
Na Michael Anderson Adui mkubwa wa maisha ya mtu ni woga. Na woga husababishwa na hofu, ambayo  ni kiashilia cha kukutaka uwemakini. Hofu inapatikana kwenye kitengo cha ...
23
Toka kistaa msimu huu wa mvua
Maeneo mengi kwa sasa yanakubwa na mvua. Hivyo ukiwa mdau wa fasheni siyo vizuri kutoka kishamba hata kama mvua inanyesha. Zingatia mitindo hii katika msimu huu wa mvua. ...
23
Namna Ya Kutengeneza Chesee Balls
Wakati waumini wa dini ya Kiislamu wakiwa  wamemaliza mfungo na kula Eid, waumini wa Kikristo bado wanaendelea na mfungo. Hivyo tumewasogezea jinsi ya kutengeneza kitafun...
23
Davido, Chioma Kufanya White Wedding Miami
Mkali wa Afrobeat kutoka Nigeria, Davido ametangaza kufanya harusi nyingine ya ‘White Wedding’ jijini Miami nchini Marekan mwezi Agosti mwaka huu.Davido ameyasema ...
23
Ndoa Ya Jux Ilivyopaisha Muziki Wake
Msanii wa Bongo Fleva, Juma Jux ambae ametikisa mitandao ya kijamii Afrika kutokana na harusi yake iliyofanyika nchini Nigeria akifunga ndoa na Priscilla, na sasa tukio hilo l...
23
Kanye Aonesha Mashaka Malezi Ya Watoto Wake
Mwanamuziki na mfanyabiashara Kanye West ameonesha kuwa na wasiwasi katika malezi ya watoto wake ambao wanalelewa katika familia ya aliyekuwa mke wake Kim, ‘The Kardashi...
23
Oscars Waanzisha Kanuni Mpya Kwa Wapigaji Kura
Waandaji wa Tuzo za ‘The Academy Awards’ 'Oscars' wamefanya mabadiliko kuelekea msimu ujao wa tuzo hizo. Huku wakianzisha sheria mpya kwa wapigaji kura p...
22
Lundenga azikwa makaburi ya familia Kidatu Morogoro
Mwili wa aliyekuwa mratibu wa mashindano ya Miss Tanzania, Hashim Lundenga, umezikwa leo Aprili 22,2025 katika makaburi ya familia, Kidatu, mkoani Morogoro. Mazishi ya Lu...

Latest Post