10
Trossard aondolewa ‘timu’ ya Taifa
Mchezaji wa ‘klabu’ ya #Arsenal, LeandroTrossard ameondolewa katika kikosi cha ‘timu’ ya Taifa ya Ubelgiji kinachoenda kushiriki michuano ya kufuzu EUR...
10
Licha ya kuachana, Sophie achora ‘tattoo’ ya Drake
Mama mtoto wa ‘rapa’ kutoka nchini Canada, Drake, Sophie Brussaux ameendelea kuonesha upendo kwa msanii huyo hadi kufikia hatua ya kuchora ‘tattoo’ ya ...
10
Atishia kubeba mabomu akiwa juu ya bembea
Mwanaume mmoja ambaye hajafahamika jina hadi  sasa, amedakwa na polisi baada ya kuwatishia watu waliokuwa kwenye bembea la Ferris katika hifadhi maarufu ya Santa Monica, ...
09
Vita yasababisha tamasha la Bruno kufutwa
Tamasha la mwanamuziki kutoka nchini Marekani #BrunoMars lililopangwa kufanyika Tel Aviv, Israel usiku wa Jumamosi ya wiki iliyopita limefutwa baada ya vita kuibuka nchini hum...
09
Kylie Jenner apoteza mashabiki kwa kuiunga mkono Israel
Mrembo Kylie Jenner amejikuta akipoteza wafuasi wake katika ukurasa wake wa Instagram baada ya kuweka ‘posti’ kupitia InstaStory yake ikionesha anaiunga mkono ...
09
Nay: Muziki wangu haulengi watu wa mtandaoni
Akizungumza na shirika la habari BBC mwanamuziki wa Hip-hop nchini Nay wa Mitego amedai kuwa muziki wake huwa anawalenga watu wenye hali ya chini kabisa hivyo anachanganyikiwa...
09
Kinyesi cha Twiga chamuweka matatani mwanamke mmoja
Mwanamke mmoja amekamatwa kwenye Uwanja Wa Ndege Wa Minnesota nchini Marekani, akiwa na kinyesi cha Twiga kutoka nchini Kenya. Mwanamke huyo alieleza kuwa alibeba kinyesi hich...
09
Kuanzia leo, Mwiko wanafunzi kutumia simu shuleni australia
Simu zapigwa marufuku kwa wanafunzi katika shule za serikali nchini Australia wakati wa saa za shule au wakiwa darasani. Hiyo ni kutokana na kuepusha usumbufu darasani wakati ...
09
Mfahamu binti mwenye aleji na maji, Akioga hutokwa damu
Inafahamika kuwa maji muhimu katika maisha ya kiumbe hai, kwa mimea yanahitajika kwa kiasi kikubwa, wanyama na hata binadamu pia kwani hutumia kama kinywaji na katika matumizi...
09
Yanga kutoa zawadi ya mchezaji bora kila mwezi
Akizungumza mbele ya waandishi wa habari, Rais wa ‘klabu’ ya #YangaSC, Eng Hersi Said ameshukuru shirika la #NIC kwa kuamini na kuchagua kufanya kazi na ‘kla...
09
Mayele: Dunia ya Mungu siyo ya mtu
Mchezaji wa ‘Klabu’ ya Pyramid FC Fiston Mayele anadai kuna watu wanataka afeli. Kuhusiana na hilo Mayele amedai kuwa dunia ni ya Mungu siyo ya mtu hiyo watu waend...
09
Mzaliwa wa kigoma ang’ara Marekani
Benard Kamungo mzaliwa wa kasulu, Kigoma anayeichezea ‘klabu’ #FCDallas inayoshiriki ‘ligi’ kuu ya nchini Marekani ameitwa katika kikosi cha awali cha ...
08
Simba waichapa Singida Big Star
Simba SC imeibuka na ushindi wa bao 2-1 baada ya mchezo uliochezwa katika uwanja wa CCM Kilumba dhidi ya  Big Stars FC.  Ambapo bao la kwanza lilifungwa  na Sai...
08
Wapinzani wa Yanga wamtimua ‘Kocha’
Wapinzani wa Yanga SC hatua ya makundi CAF, CR Belouizdad ya Algeria wamemfukuza kazi  ‘kocha’ mkuu wa ‘timu’ hiyo Sven Vandenbroeck. Taarifa ya &...

Latest Post