Mwanahabari kutoka nchini #Uingereza, Victoria Coren Mitchell, mwenye umri wa miaka 51, amejifungua mtoto wake wa pili na mume wake David mwenye umri wa miaka 49.
Victor...
Dereva wa bus la shule ya Utah kutoka nchini Marekani anayefahamika kwa jina la Michael Austin Ford mwenye umri wa miaka 58 amekamatwa na polisi kwa tuhumima za kuchoma bus la...
Ziara ya mwanamuziki kutoka nchini Canada The Weeknd ya ‘After Hours til Dawn’ imedaiwa kufikia hatua bora na kuifanya kuwa ziara yenye mafanikio zaidi ya kifedha ...
‘Klabu’ ya #Simba imekemea vikali na kusikitishwa na tukio ambalo lilisambaa katika mitandao ya kijamii kupitia video ikionesha baada ya mchezo wa Simba Vs Ihefu, ...
Mwanamuziki na mfanyabiashara kutoka nchini Kenya Akothee kwa mara ya kwanza amefunguka kuhusu kuachana na mume wake anayefahamika kama Denis Schweizer,'Omosh' huku akidai kuw...
Mke wa mwanamuziki mkongwe wa Hip-hop #ProfessorJay, #GraceMgonjo amedai kuwa taarifa ambazo zilikuwa zinamuumiza kipindi cha nyuma ni kuhusu mumewa kuzushiwa kifo wakati akiw...
Mabingwa watetezi wa ‘Ligi’ Kuu Bara na washindi wa pili wa Kombe la Shirikisho Afrika msimu uliopita Yanga SC, wanawania Tuzo ya ‘klabu’ bora kwa wana...
Baada ya mtu wa kwanza kufanyiwa upasuaji wa kupandikizwa moyo wa nguruwe mwaka jana na ‘timu’ ya madaktari kutoka Chuo Kikuu Maryland kufariki miezi miwili baada ...
Baada ya muigizaji kutoka nchini Nigeria Mr Ibu kuomba msaada kupitia mitandao ya kijamii ili aweze kuchangiwa kiasi cha pesa kwa ajili ya matibabu, hatimaye muigizaji huyo ta...
Mfalme wa Pop Duniani Michael Jackson ameongoza orodha ya #Forbes ya watu mashuhuri 13 waliofariki wanaolipwa pesa nyingi zaidi, ambapo mapato yeke yanayokadiriwa kuwa dola 11...
Waandaaji wa tamasha la ‘Warri Again Concert’ wamemfungulia kesi ya madai ya N2.3 bilioni msanii kutoka nchini Nigeria Davido kwa madai ya kukiuka makubaliano ya k...
Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Mji Geita, #ZaharaMichuzi amemtaka ‘kocha’ mkuu wa ‘timu’ ya #GeitaGold, #HemediSuleiman, kufika ofisini kwake kw...
Muigizaji kutoka nchini Marekani mwenye umri wa miaka 50 Tyler Christopher amefariki dunia kwa mshituko wa moyo nyumbani kwake San Diego siku ya jana Jumanne.
Inaelezwa kuwa n...