Mwanamitandao na mtiririshaji wa maudhui kupitia mtandao wa YouTube Ishow Speed amejikuta akiumizwa baada ya kuingia kwenye ulingo wa mieleka wa WWE Royal Rumble 2025 na kuond...
Leo Februari 2, 2025 zinatarajiwa kugawiwa tuzo za Grammy ambazo zitakuwa za 67 kufanyika tangu kuanzishwa kwake Mei 4, 1959.1. Tuzo za Grammy ambazo zinaangazia wasanii walio...
Mwanamuziki kutoka nchini Kenya ambaye alijulikana zaidi kupitia kundi lililovunjika la ‘Sauti Soul’ amefunguka jinsi msanii wa Bongo, Marioo alivyomfundisha mbinu...
Lamata Mwendamseke ‘Lamata Leah’ndilo jina lake mwongozaji na mtayarishaji wa filamu nchini ambaye ameifanya kazi hiyo kwa zaidi ya miaka 10 hadi sasa.Kwa kipindi ...
Moja ya stori inayoendelea kusambaa katika mitandao ya kijamii ni kuhusiana na staa wa Bongo Movie Wema Sepetu kuachana na aliyekuwa mpenzi wake Whozu.Kutokana na wadau na mas...
Mwanamuziki maarufu wa Pop duniani, Rihanna (36) alifika mahakamani kufuatilia mwenendo wa kesi inayomkabili mpenzi wake na mzazi mwenzie, Asap Rocky (36) ambaye anashtakiwa k...
Kwa mujibu wa utafiti uliyofanywa na ‘Chuo Kikuu cha Baylor’ umeeleza kuwa ulaji wa tambi mara kwa mara haswa mara mbili hadi tatu kwa wiki, umehusishwa na hatari ...
Watumiaji wa Akili Bandia (AI) katika mitandao yao ya kijamii kama vile WhatsApp, Instagram na Facebook Messenger wataweza kutunza taarifa zao binafsi ambazo wataziweka katika...
Lebo ya muziki inayofanya vizuri Bongo ya Wasafi Classic Baby ‘WCB’ imetangaza kusaka wasanii wapya sita mwaka huu.Taarifa hiyo iliyotolewa na Pruducer wa lebo hiy...
Wasambazaji wa filamu ya ‘Squid Game’ iliyoweka rekodi zaidi toka kuachiwa kwake wameweka wazi kuwa msimu wa tatu wa filamu hiyo utakuwa wa mwisho kuachiwa.Kupitia...
Waendesha mashitaka wa serikali ya Marekani wameripotiwa kuleta waathiriwa wengine wawili wanaodaiwa kuwa na madai mapya dhidi ya ‘Rapa’ Diddy.Kwa mujibu wa tovuti...
Mkali wa Afrobeat kutoka Nigeria, Tems ametoa taarifa ya kughairisha tamasha lake alilopanga kulifanya nchini Rwanda kufuatia machafuko yanayoendelea katika nchi ya Congo na R...
Mwigizaji na mwanamuziki Akon Thiam akiwa katika mahojiano na The Joe Budden Podcast ametoa maoni kuhusu mahusiano kwa kusema wanaume wanatakiwa kuwa na wanawake wengi.“...