15
Hii hapa sababu ya kifo cha King Kikii
Joseph Silumbe ambaye ni mtoto wa marehemu msanii mkongwe wa muziki wa dansi Tanzania, Boniface Kikumbi maarufu 'King Kikii' amesema baba yake amefariki kwa maradhi ya sarat...
15
Ariana Grande na Beyonce wanavyokiwasha katika filamu za muziki
Na Asma HamisLicha ya kukimbiza kwenye muziki wasanii kutoka Marekani Ariana Grande na Beyoncé Sasa wanatajwa kuonesha uwezo wao kwenye filamu za muziki.Kwa mujibu wa t...
15
King Kikii wa Kitambaa cheupe afariki dunia
Mwanamuziki mkongwe wa muziki wa dansi Tanzania, Boniface Kikumbi maarufu King Kikii amefariki dunia usiku wa kuamkia leo Ijumaa Novemba 15, 2024 akiwa anapatiwa matibabu kati...
14
Wasanii wamzidia S2kizzy, ataka kuongeza studio nyingine
Mtayarishaji wa muziki nchini S2kizzy ametangaza kuongeza studio mbili za kurekodia kutokana na kuelemewa na foleni kubwa ya wasanii wanaohitaji huduma. "Inabibidi niongeze st...
14
Bila vigezo hivi Grammy hutoboi
Baada ya kuwepo kwa minong’ono mingi katika mitandao ya kijamii kuhusiana na tuzo za muziki nchini Marekani Grammy kuwapendelea na kuwanyonya baadhi ya wasanii, sasa Mwa...
14
Zuchu afanya kolabo na Yemi Alade
Mwanamuziki wa Bongo Fleva nchini Zuchu huenda akawa amefanya kolabo na mkali wa Afrobeat kutoka Nigeria Yemi Alade, hii ni baada ya kuweka wazi kuwa kunamteule kwenye tuzo za...
14
Mtu huyu ameshinda Grammy nyingi lakini hajawahi kuimba
Quincy Jones hajawahi kuimba kwenye maisha yake lakini kawazidi wasanii wengi maarufu kwenye orodha ya Grammy kama vile Rihanna, Taylor Swift, Michael Jackson, na Lady Gaga. W...
13
Mwaka 2024 mtamu kwa Ibraah
Na Masoud KoffieMwanamuziki Ibraah ambaye amesainiwa chini ya lebo ya Konde Gang Music Word Wide, kwa sasa tunaweza kumuita nyota wa mchezo kwenye muziki wa Bongo Fleva, hii n...
13
Huyu ndiye Denzel Washington usiyemfahamu
Mwigizaji wa Marekani Denzel Washington ametangaza kustaafu kuigiza huku akiweka wazi kuwa Black Panther 3 itakuwa moja ya filamu za mwisho kucheza. Pia kabla ya kustaafu kwak...
12
Idris Sultan awafunda vijana
Mwigizaji na mshindi wa Big Brother Afrika 2014, Idris Sultan amewataka vijana kupunguza kutembea na makaratasi badala yake wajitambue kuanzia kichwani. Idris ameyasema hayo h...
12
Huyu ndio Wema Sepetu usiyemfahamu
Baada ya kukabidhi taji la Miss Tanzania aliloshinda mwaka 2006, Wema Sepetu alieleka nchini Malaysia aliposomea Biashara ya Kimataifa katika Chuo Kikuu cha Limkokwing, akiwa ...
12
Kabla ya Bongo Fleva Linah aliimba kwaya
Staa wa Bongofleva, Linah Sanga alianza kutamba baada ya kipaji chake kunolewa na Tanzania House of Talents (THT). Kwa sasa takriban miaka 15 bado anaendelea kutoa burudani kw...
12
Miaka 45 ya staa wa Tittanic katika ulimwengu wa filamu
Leonardo DiCaprio ndilo jina halisi la nyota wa filamu Tittanic, ambaye wengi wanamfahamu kama Jack Dawson kutokana na uhusika wake kwenye filamu hiyo. Mkali huyo ambaye jana ...
11
Verse za pili kwenye ngoma za Alikiba ni asali kwa mashabiki
Na Masoud KofiiLicha ya kuwa ngoma za mwanamuziki Alikiba zimekuwa zikifanya vizuri na kupokelewa kwa mapenzi makubwa, lakini ngoma hizo zinaonekana kuwakuna zaidi mashabiki k...

Latest Post