King Kikii ambaye alifariki dunia usiku wa kuamkia Novemba 15,2024, nyumbani kwake Mtoni Kwa Aziz Ally jijini Dar es Salaam kwa ugonjwa wa saratani ya ini. Mwili wake unaagwa ...
Mbali na sanaa, kitu kingine msanii anachouza kwa hadhira yake ni mtindo wake wa maisha, na hapa ndipo mashabiki wengi hupenda kuliko hata zile kazi za msanii husika kitu amba...
Mwigizaji wa Bongo Movie Fredy Kiluswa amefariki dunia leo Novemba 16,2024 akipatiwa matibabu katika hospitali ya rufaa Mloganzila.Taarifa hiyo imethibitishwa na mwigizaji mwe...
Kufuatia kifo cha mwigizaji Fredy Kiluswa kilichotokea jana Novemba 16,2024 katika hospitali ya rufaa Mloganzila, mwongozaji msaidizi wa tamthilia ya 'Mizani ya Mapenzi' Alex ...
Kufuatia na tukio lililotokea mapema leo la kuporomoka kwa moja ya jengo Kariakoo na kusababisha maafa pamoja na majeruhi baadhi ya mastaa wametoa salamu zao pole kwa wafanyab...
Nyota wa ngumi za kulipwa Mike Tyson amefunguka jinsi alivyonusurika na Ukimwi.Tyson kupitia mahojiano yake ya hivi karibuni na Rosie Perez ‘Interview Magazine’ am...
Mwanamuziki kutoka Marekani Kanye West anakabiliwa na madai ya kumfanyia unyanyasaji wa kijinsia aliyekuwa meneja wake aitwaye Murphy Aficionado kwa kumtumia picha za utupu za...
Mwanamuziki anayetamba na kiboa cha ‘Kariakoo’ ametuma salamu za pole kwa wafanyabiashara wa Kariakoo kufuatia na tukio lililotokea mapema leo la kuporormoka kwa m...
Kibongo Bongo kuomba chumvi au kiungo chochote wakati wa chakula kwa lengo la kuongeza radha jambo hilo huchukuliwa la kawaida na halina shida yoyote, lakini unapoingia nchini...
Unapozungumzia muziki wa Bongo Flava kwenye jukwaa la kimataifa, ni jina moja tu litatajwa nalo ni Diamond Platnumz, yeye si nyota tu ni sura ya muziki wa Kitanzania, ambaye a...
Waswahili wanasema usiku wa deni haukawii kukucha, basi msemo huu unajidhihirisha kufuatia na pambano ambalo lilisubiriwa kwa hamu la bondia wa zamani wa ngumi za kulipwa Mike...
Klabu ya Yanga imemfuta kazi Kocha Mkuu wa timu hiyo, Miguel Gamondi leo Ijumaa Novemba 15, 2024.Taarifa ya kufutwa kazi kwa makocha hao imetolewa na Ofisi ya Mtendaji Mkuu wa...
Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan ametuma salamu za pole kutokana na kifo cha nguli wa muziki wa dansi Tanzania, Boniface Kikumbi maarufu King Kikii.Salamu hizo amezitoa k...