Na Ammar MasimbaAsilimia kubwa ya wasanii wanaochipukia na hata wale walioko tayari kwenye gemu ya muziki hawajui jinsi ya kufanya biashara ya kusambaza kazi zao. Hali hii ime...
Kampuni ya kutengeneza vifaa mbalimbali vya mawasiliano Apple, imeripotiwa kuwa na mpango wa simu zake zijazo za ‘Iphone’ kuanza kutumia kamera za Samsung.Imeelezw...
Mwanamuziki wa Marekani Kendrick Lamar ametajwa kuwa rapa bora wa mwaka 2024.Kupitia mtandao wa kuuza muziki ‘Apple Music’ Lamar ametajwa kuwa ndio rapa mwenye ush...
Mwanamuziki wa nyimbo za injili nchini Joel Lwaga ameendelea kuonesha ubabe wake kwenye mtandao wa kusikiliza muziki wa Apple Music kwa kuendelea kushika namba moja kwa wiki t...
Wengi wanadhani kuwa watumiaji wa iPhone ni watu wenye fedha na elimu. Licha ya dhana hizo utafiti uliofanyika China ulibaini kuwa mawazo hayo ni tofauti na uhalisia.Utafiti h...
Mixtape ya marehemu mkali wa Hip Hop kutoka Marekani Rich Homie Quan iitwayo ‘I Promise I Will Never Stop Going In’ imeripotiwa kushika namba moja kwenye mtandao w...
Mfanyabiashara wa Uingereza aliyefahamika kwa jina la Richard ameripotiwa kuishitaki kampuni ya simu za Iphone, hii ni baada ya kampuni hiyo kurudisha ‘meseji’ zil...
Mmiliki wa mtandao wa X zamani (Twitter) #ElonMusk amepinga kampuni ya Apple kutumia mfumo wa akili bandia (AI) kwenye iPhone na vifaa vyingine.
Musk ameweka wazi kuwa hakubal...
‘Rapa’ kutoka nchini Marekani ambaye pia alikuwa mpenzi wa mtoto wa Bob Marley, Rohan Marley, Lauryn Hill ametunukiwa tuzo ya heshima na ‘Apple Music’ ...
Mauzo ya simu za iPhone zinazotengenezwa na kampuni ya Apple yameshuka duniani kote kwa asilimia 10 katika miezi mitatu ya mwanzo ya mwaka 2024.Hayo yamebainishwa na utafiti u...
‘Rapa’ kutoka nchini Marekani Kendrick Lamar ameendelea kuupiga mwingi kupitia ngoma yake ya ‘Euphoria’ aliyoiimba kwa ajili ya kumjibu Drake, ambapo i...
Serikali ya Congo imeishutumu Kampuni ya Apple kwa kutumia Madini yaliyochimbwa kinyume na sheria Mashariki mwa nchi hiyo kutengeneza bidhaa zake.
Kupitia mawakili wa nchi hiy...
Madaktari wa upasuaji kutoka nchini Uingereza, wapatikanao katika Hospitali ya Cromwell jijini London kwa mara ya kwanza wameshika vichwa vya habari nchini humo baada ya kufan...
Kampuni ya Apple inatakiwa kuwalipa watumiaji wa simu za iphone za zamani nchini Canada baada ya watumiaji kushinda kesi ya Batterygate kesi ambayo ilikuwa inaonesha kampuni h...