Baada ya kuwepo kwa tetesi kuhusiana na tuzo za Oscars kuahirishwa kufuatiwa na tukio la moto lililotokea jijini Los Angeles katika milima ya Hollywood, na sasa taarifa rasmi ...
Mwanamuziki anayetamba na wimbo ‘Komasava’ Diamondplatnumz anachuana na mastaa kutoka Nigeria katika tuzo za African Entertainment Awards USA (AEAUSA) zinazotaraji...
Mwimbaji wa Afrika Kusini, Tyla, 22, hivi karibuni ameshinda tuzo ya MTV Video Music Awards (VMAs) 2024, mafanikio haya ni somo lingine kwa staa wa Bongofleva, Diamond Platnum...
RHOBI CHACHANi nani atakayeibuka mshindi wa tuzo za Hollywood and African Prestigious Awards (HAPAWARDS)? Ni swali linalosubiriwa kujibiwa kwenye usiku wa kinyang'anyiro cha t...
Mwanamuziki kutoka Marekani Card B ametunukiwa tuzo ya muhamasishaji bora mitandaoni katika usiku wa tuzo za ‘Hollywood Unlocked Impact Awards’ zilizotolewa siku y...
Usiku wa kuamkia leo msanii Zuchu na Bosi wake Diamond wameshinda tuzo za Tanzania Digital Awards(TDA) ambapo Diamond ameondoka na tuzo ya msani bora wa kiume wa mwaka anayetu...
‘Rapa’ kutoka nchini Marekani Drake na mwanamuziki mwezie Taylor Swift wanashikiria rekodi ya ushindi wa muda wote katika Tuzo za muziki za Billboard (BBMAs) baada...
Msanii wa Hip-hop kutokea nchini Marekani, Kendrick Lamar ameonekana kinara wa Hip-hop kwa mwaka 2023, hilo limethibitika siku ya jana kupitia BET Hip hop Awards baada ya kush...
Na Asha Charles
Alooooo! Tuzo za TMA zimezua balaa kwa baadhi ya wasanii kutoa mapovu kutokutajwa katika listi ya tuzo hizo ambapo mmojawapo akiwa ni msanii kutoka lebo ya WCB...
Staa wa muziki nchini Canada Justin Bieber ameibuka na Tuzo ya msanii bora wa mwaka 2021 katika tuzo za VMAS(video music awards)zilizo fanyika jana.
Vilevile msanii huyo aliba...
Tuzo za Grammy ni kati ya tuzo zinazopendwa na zinazofuatliliwa zaidi duniani. If you are among the music lovers, hii lazima unaijua. It’s among the biggest awards, na w...