Kujenga nyumba ni rahisi sana kama ukiwa hatua za mwanzoni. Urahisi wenyewe huanzia kwenye lugha na maongezi yake. Yaani ni kisiwahili mwanzo mwisho.Kiwanja, mchanga, msingi, ...
Aliyekuwa mhudumu wa shirika la ndege la ‘Alaska Airlines’ Nelle Diala amefukuzwa kazi baada ya video yake akiwa anakatika viuno (kucheza) kusambaa kwenye mitandao...
Mwanamuziki wa Hip Hop kutoka Marekani, Busta Rhymes ameripotiwa kujisalimisha kwa polisi, baada ya kumpiga mfanyakazi wake aitwaye Dashiel Gables tukio lililotokea Ijumaa, Ja...
Mwigizaji nguli wa Bollywood kutoka India Saif Ali Khan ameripotiwa kufanyiwa upasuaji wa dharura katika Hospitali ya Lilavati jijini Mumbai baada ya kuchomwa kisu na jambazi ...
Gemu ya Hip-hop Tanzania kwa sasa ina majina mengi ya wasanii wanaofanya vizuri hususani wa kizazi kipya ambao kwa pamoja wanaitwa 'New Generation Ya Rap' hapo utakutana na ki...
Msanii The Weeknd ameweka wazi huenda albamu yake aliyopanga kuitoa januari 31, 2025 'Hurry Up Tomorrow' ikawa kazi yake ya mwisho kwenye muziki chini ya jina lake maarufu amb...
Kocha wa Manchester City Pep Guardiola ameachana na mke wake Cristina Serra ambaye wamekaa pamoja kwa miaka 30.Guardiola ambaye anapitia kipindi kigumu kwenye kikosi cha Manch...
Kwa mujibu wa utafiti uliochapishwa kutoka tovuti ya ‘European Heart Journal’ unaonesha kuwa kufurahia kikombe cha kahawa asubuhi kunaweza kupunguza hatari ya mago...
Mbunifu wa mitindo kutoka Nigeria, Liz Sanya anatajwa kukamilisha kutengeneza kiatu (sendo) kikubwa zaidi dunaini kwa kutumia masaa 72.Kwa mujibu wa tovuti ya ‘News Cent...
Mwananmuziki na mtangazaji Baba Levo amekikubali kipaji cha msanii na mwigizaji Rose Ndauka huku akimtabiria kufika mbali zaidi.Kupitia ukurasa wa Instagram wa Baba Levo amemp...
Filamu inayoonesha na kuelezea maisha halisi ya mfalme wa Pop Duniani Michael Jackson ‘MJ’, imepangwa kuoneshwa rasmi kwa mara ya kwanza Oktoba 3, 2024 baada ya ku...
Muziki wa miondoko ya taratibu Kompa Flava umeripotiwa kuwa na ushawishi mkubwa katika muziki wa Bongo Fleva huku ukiiteka jamii kutokana na muundo wake wa kipekee.Kwa mujibu ...
Mtandao unaokubalika zaidi duniani kote wa WhatsApp umetangaza kuacha kufanya kazi katika simu za zamani za Android ambazo hazipati Updates za mfumo mpya unaofanyika kila mwak...