14
Kim Kardashian Akimlilia Kanye West Abadilike
Mwanamitindo na mfanyabiashara maarufu Kim Kardashian amezua mijadala katika mitandao ya kijamii baada ya moja ya video yake kuvuja ikimuonesha akitokwa na machozi huku akimwo...
14
Kid Cudi Alilazimishwa Kutoa Ushahidi Dhidi Ya Diddy
Msanii wa hip hop kutoka Marekani, Kid Cudi, amefunguka kwa mara ya kwanza baada ya kutoa ushahidi dhidi ya mwanamuziki na mfanyabiashara “Diddy” Combs, akieleza k...
14
Je Wajua Celine Dion Alikataa Kuimba My Heart Will Go On
Kila ifikapo siku ya Alhamisi watu hupamba mitandao ya kijamii kwa picha na video za matukio yaliyopita. Matukio hayo hugusa sehemu mbalimbali ikiwemo kwenye michezo, familia ...
13
Kumbe tobo la Baba Levo kimaisha lilikuwa huku
Mungu hakupi unachotaka anakupa unachostahili! Kauli hii inajidhihirisha kwa msanii wa muziki nchini, Babalevo licha ya watu wengi kuamini kuwa mafanikio yake yanatokana na mu...
13
Nyuma ya pazia rangi nyekundu ya mdomoni
Rangi nyekundu ya mdomoni ‘lipstick’, si mtindo wa kisasa kama ambavyo wengi wanavyofikiria, mtindo huo ulianzishwa na wanawake wa Babeli na Sumeria kutoka Mesopot...
13
Madonna Amuomba Papa Leo Xiv Afanye Jambo Kwa Watoto Gaza
Mkali wa Pop kutoka Marekani, Madonna amemuomba Papa Leo XIV, akimsihi kwenda Gaza ili kuwasaidia watoto wanaoteseka kutokana na mgogoro unaoendelea.Katika chapisho lake kweny...
13
Sio Mchezo! Afande Sele Na Mahari Ya Sh5 Milioni, Ng’ombe
Rhobi ChachaSafari ya kukamilisha ndoto ya Mfalme wa Rhymes, rapa mkongwe, Seleman Msindi 'Afande Sele' ilianza wiki iliyopita Agosti 5, baada ya tukio la kipekee la...
12
Penzi La Davido, Chioma Halitetereki
Wakati mashabiki wakiendelea kuujadili umbea kuhusiana na mwanamuziki Davido kudaiwa kutoka kimapenzi na mtengeneza maudhui, Jessie Awazie huku ikiripotiwa kununuliwa vitu vya...
12
Unafahamu Maana Ya YKK Kwenye Zipu
Umewahi kugundua kuwa zipu nyingi tunazotumia kwenye mikoba, nguo, na hata mabegi huwa zimeandikwa herufi YKK? Leo fahamu maana ya herufi hizo. YKK ni kifupisho cha maneno ya ...
12
Sasa ni rasmi Georgina mchumba wa CR7
Nyota wa soka wa Ureno ambaye kwa sasa anaichezea Al-Nassr ya Saudi Arabia, Christian Ronaldo (CR7), ametangaza uchumba wake rasmi na mwanamitindo maarufu Georgina Rodrí...
12
Ugumu Anaopata Kazoa Kunakilisha Sauti
Mchekeshaji Hassan Kazoa ‘Mr Food’ameweka wazi ugumu anaopata katika kunakilisha sauti ‘Dubbing’ kama mlemavu.Akizungumza na Mwananchi Kazoa, ambaye an...
12
Bongo Ni Tamu Atakaye Na Aje...
Achana na Nonda Shaaban Papii. Aliyekuja na kupita njia kuelekea Ulaya. Wapo kina Ben Mwalala na Bonaface Ambani. Niyonzima, Mbuyu Twite, Kiiza, Mavugo, Amis Tambwe. Kavumbagu...
11
Usiyoyajua kuhusu TID
Kwa sasa ni miaka zaidi ya 20 bado TID anaitumika Bongo Fleva akiwa ametoa albamu kali, ameshinda tuzo, ameanzisha bendi na tayari jina lake lipo katika orodha ya waimbaj...
11
Dogo Rema chukua hela zako sasa
Mwaka fulani aliibuka msanii wa Bongofleva anayeitwa Harmorapa. Jamaa aliiteka mitandao ya kijamii akaondoka na kijiji. Na sio kwamba alikuwa mbadi kwenye muziki, hapana. Alik...

Latest Post