Msanii wa WCB D Voice ametoa angalizo kwa wasanii wa singeli kutotoa nyimbo Desemba 31,2024 kwani watakula hasara.“Wale Wasanii wa Singeli mnaosubiria mtoa nyimbo tarehe...
Kufuatia na tukio lililotokea mapema leo la kuporomoka kwa moja ya jengo Kariakoo na kusababisha maafa pamoja na majeruhi baadhi ya mastaa wametoa salamu zao pole kwa wafanyab...
Mwanamuziki wa Bongo Fleva nchini D Voice amedai kuwa yeye ndiyo msanii mdogo kutoka Afrika Mashariki anayerekodi video za mkwanja mrefu, huku akiwataka wanaobisha kuonesha mi...
Ikiwa jana Septemba 3, 2024 dirisha la kuwapigia kura wasanii watakaowania Tuzo za Muziki Tanzania (TMA) lilifunguliwa, hivi ndivyo vipengele 17 vinavyoshindaniwa ambavyo vime...
Mwanamuziki Diamondplatnumz akimkabidhi msanii mpya wa WCB D Voice cheni mpya yenye mchanganyiko wa madini iliyotengenezwa kwa muundo wa nembo ya WCB huku akimtaka msanii kuto...