Nimewahi kukutana na washkaji ambao walifanya makosa makubwa sana kwenye maisha yao, makosa ambayo yaliwagharimu kila kitu walichokuwa nacho, walipoteza kazi, pesa, familia, u...
Kupeana tafu ndio mpango mzima kwenye maisha, hiyo imejidhihirisha kwa baadhi ya wasanii wa muziki nchini ambao wamezibeba historia za mafanikio ya wasanii.Katika historia ya ...
Hadi katikati ya miaka ya 2000, Danny Msimamo alikuwa miongoni mwa marapa wakali katika Bongofleva akitambulika na wengi kama msanii mwenye uwezo wa kufikiri nje ya box na nyi...
Nyota wa muziki kutoka nchini Nigeria, Tiwa Savage wakati akifanya mahojiano na Forbes Africa. Amekiri kutokuwa na mpango wa kuongeza msanii kwenye lebo yake ya The 323 Entert...
Nyota yake iling'aa baada ya kuonekana katika shindano la kusaka vipaji la Bongo Star Search (BSS) na sasa Kala Jeremiah ni miongoni mwa wasanii bora wa Hip Hop kuwahi kutokea...
Siku kama ya leo Machi 9, 1997 ulimwengu ulimpoteza mkali wa muziki wa Hip-Hop Christopher Wallace ‘The Notorious B.I.G’ akiwa na umri wa miaka 24.Kifo chake kilit...
Kanye West ametangaza kuirejesha ibada yake ya Jumapili inayofahamika kama Sunday Service ambayo itafanyika Machi 16, 2025.Kupitia ukurasa wake wa instagram ameshea baadhi ya ...
Rapa kutoka nchini Marekani, Kanye West 'Ye' amefanya mawasiliano kwa njia ya simu na nguli wa Hip Hop duniani Sean Diddy Comb 'Pdiddy' pamoja na rapa Lil Durk ambao wanashiki...
Mkongwe wa muziki wa Hip-Hop nchini Marekani J Cole amemualika staa wa Afrobeat kutokea Nigeria 'Burna Boy' nyumbani kwake North Carolina ambapo kuna studio yake ya nyumbani n...
Staa wa muziki wa Afrobeat kutoka Nigeria Davido ameonesha imani yake ya kushinda tuzo ya Grammy usiku wa leo"Kama sitoshinda Grammy mwaka huu ninafikiria kuacha muziki, nimew...
Leo Februari 2, 2025 zinatarajiwa kugawiwa tuzo za Grammy ambazo zitakuwa za 67 kufanyika tangu kuanzishwa kwake Mei 4, 1959.1. Tuzo za Grammy ambazo zinaangazia wasanii walio...
Mwanamuziki kutoka Marekani Taylor Swift ameitunuku timu yake ya ‘Eras Tour’ bonasi ya dola 197 milioni kama ishara ya kuthamini juhudi zao katika ziara yake hiyo....
Ikiwa tayari zimefanyika show 100, katika ziara ya dunia ya mwanamuziki wa Marekani Taylor Swift, ‘Eras Tour’, hatimaye msanii huyo ameweka wazi tarehe ya kutamati...
Wanamuziki kutoka nchini Marekani Beyonce na Taylor Swift ndiyo wasanii waliofanikiwa zaidi kwa mwaka 2023 kutokana na ziara zao walizozifanya na kuwapatia maokoto ya maana.Zi...