Mwigizaji na mwanamuziki Jennifer Lopez amedaiwa kuwa na wasiwasi na mashaka kuhusiana na aliyekuwa mume wake Ben Affleck baada ya kuondolewa kwenye nyumba yake iliyopo Pacifi...
Nyota wa Paris Saint-Germain (PSG) Achraf Hakimi (25) na aliyekuwa mkewe mwigizaji Hiba Abouk (37), wameripotiwa kuonekana pamoja kwa mara ya kwanza baada ya kupeana talaka mw...
Mmiliki wa mtandao wa X (zamani Twitter) na mfanyabiashara Elon Musk ameripotiwa kuwa na maelewano mazuri na aliyekuwa mke wake Talulah Riley hii ni baada ya kuonekana kwenye ...
Mke wa zamani wa mwigizaji Tyrese Gibson, Norma Mitchell amemshitaki Ex wake huyo baada ya kudai kuwa Tyrese alimchafua kwa kuposti habari binafsi kuhusu yeye pamoja na binti ...
‘Rapa’ kutoka Marekani 50 Cent amemshitaki mpenzi wake wa zamani aitwaye Daphne Joy kwa kumshutumu hadharani kuwa aliwahi kumfanyia unyanyasaji wa kimwili.
Kwa muj...
‘Rapa’ kutoka nchini Marekani #ChriseanRock amechora usoni tattoo yenye sura ya ex wake na mzazi mwenziye #Blueface ambaye kwa sasa anatumikia kifungo gerezani, ka...
Muandaaji wa content kupitia mtandao wa YouTube aitwaye Paulo Cezar Goulart Siqueira (PC) kutoka nchini Brazil anadaiwa kuuawa kisha mwili wake kukutwa kwa mpenzi wake wa zama...
Mkali wa afrobeat kutoka nchini Nigeria Burna Boy amnunulia gari aina ya Rolls Royce Cullinan aliyekuwa mpenzi wake ‘rapa’ Steff London.Burna alimzawadia gari Ex w...
Mwanaume mmoja kutoka nchini Marekani, Richard White, mwenye umri wa miaka 36 anashikiliwa na polisi kwa madai ya kumteka nyara mtoto wa ex wake mwenye umri wa miaka mitano, m...
Muigizaji kutoka nchini Marekani #JonathanMajors amemshitaki mpenzi wake wa zamani #GraceJabbari kwa kosa la kumpiga na kumjeruhi maeneo ya usoni na sikioni.Major aliwasilisha...
Mpenzi wa zamani wa mchezaji wa #ManchesterUnited, #SergioReguilon, Marta Diaz amedai kuwa hato msahau ex wake huyo kwa kuwa alikuwa ni nguzo muhimu katika maisha yake.
Kwa mu...
Baada ya kutangazwa kuwa baba halali wa watoto wawili ambao ni Braiden na Brixton, msanii Ne-Yo ameripotiwa kuiomba mahakama isimruhusu ex wake Sade Bagnerise kuzungumza hadha...
Bilionea Elon Musk, amefunguliwa mashitaka na ex wake Grimes, ambaye alizaa naye watoto watatu,
juu ya haki ya malezi ya watoto wao.
Grimes amefungua mashitaka hay...