Waigizaji maarufu Marekani Tom Holland na Zendaya wameripotiwa kuchumbiana wakati wa msimu wa Sikukuu uliyopita kwenye moja ya makazi ya familia ya Zendaya.TMZ imeeleza kuwa u...
Kundi la waruka sarakasi kutoka Tanzania liitwalo ‘Hakuna Matata Acrobats’ wanaendelea kufuata nyayo za ‘Ramadhan Brothers’, hii ni baada ya kutua kwa ...
Kiungo mshambuliaji wa ‘klabu’ ya Yanga, Stephane Aziz KI amekosa tuzo ya mchezaji bora wa mwaka Burkina Faso akizidiwa kete na Edmund Tapsoba.Tuzo hiyo imetolewa ...
Mwanamuziki kutoka nchini Nigeria ameweka wazi kuwa kitu chake cha kwanza kununua baada ya kupata pesa ya kutosha alinunua nyumba ya ndoto zake.Ayra ameyasema hayo wakati akiw...
Albumu ya mwanamuziki kutoka nchini Nigeria #Rema ‘Rave & Roses (ULTRA)’ imefikia hadhi ya GOLD kwenye soko la mauzo ya albumu nchini Marekani, kwa kuuza zaidi...
Mchezaji wa ‘klabu’ ya #RealMadrid, #JudeBellingham ameshinda tuzo ya mchezaji bora chipukizi #Ulaya (Golden Boy) mwaka 2023.
Nyota huyo mwenye umri wa miaka...
Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Mji Geita, #ZaharaMichuzi amemtaka ‘kocha’ mkuu wa ‘timu’ ya #GeitaGold, #HemediSuleiman, kufika ofisini kwake kw...
Ikiwa imetimia miaka 20 tangu aondoke mchezaji Cristiano Ronaldo katika ‘klabu’ ya Ureno Sporting CP, imempa heshima mchezaji huyo kwa kuzindua ‘jezi&r...
Baada ya siku ya jana kusambaa kwa taarifa kuwa msanii kutoka Tanzania Jay Melody amekamatwa na Polisi nchini Kenya kwa kosa la kumshambulia promota Golden Boy.
Promota huyo a...
Aloooooh! Sio powa yani wanasimba wameamka tena yani hadi mzee wa mlete mzungu bwana anatamba yeye tu uko katika mitandao ya kijamii kwa kusema kuwa simba ndo kwanza wameanza ...
Yees!! Karibu sana mdau kwenye ukurasa wa entertainment bila shaka huu ndiyo ukurasa muhimu kabisaa wa kuyafahamu mengi yanahusu burudani bwana ama nini?
Bila kukupotezea muda...
Mwimbaji kutoka nchini Nigeria maarufu kama Adekunle Gold ambaye ni mtunzi wa nyimbo amethibitisha kutoka kwa Album yake mpya ya “Catch me if you can&r...