Ombi lililowasilishwa la kumkamata rapa Nick Minaj kufuatiwa na kesi ya kumpiga aliyekuwa meneja wake wa zamani, limekataliwa kutokana na kutokuwa na ushahidi wa kutosha Msema...
Rapa Malume Centrozone ameendelea kuwatambia rapa wenzake kutokana na mapokezi ambayo amekuwa akipata kila apandapo jukwaani na Country Wizzy ambaye wanaunda kundi la Moco.Map...
Wakati wimbo wa mwanamuziki Zuchu aliomshirikisha Diamond ‘Wale Wale’ ukiendelea kufanya vizuri kwenye mitandao ya kusikiliza muziki huku ukishika nafasi ya tatu k...
Mauzauza, Ashua, Hakuna Kulala, raha na Wana ni baadhi ya nyimbo za mwanamuziki wa WCB Zuchu zilizomtambulisha kwenye gemu mwaka 2020 baada ya kutambulishwa kwenye lebo hiyo y...
Mtazamo. Wimbo wa Afande Sele, na wale 'Bigi Mani' wenzake kwenye 'gemu'. Solo Thang Ulamaa na Prof. Jay The Heavy Weight Mc. Kilinuka sana humo ndani chini Producer Majani. N...
Kundi la waruka sarakasi kutoka Tanzania liitwalo ‘Hakuna Matata Acrobats’ wanaendelea kufuata nyayo za ‘Ramadhan Brothers’, hii ni baada ya kutua kwa ...
Mwanamuziki wa Nigeria, #BurnaBoy amedai kuwa hakuna mwandishi wa nyimbo anayeweza kuandika wimbo wa hadhi yake. Burna Boy ameyasema hayo kupitia mtandao wake wa X (Zaman...
Mke wa wa mtangazi wa ‘The Repair Shop’ kutoka nchini Ungereza #JayBlades, #LisaMarieZbozen amepanga kudai talaka haraka baada ya kuona hakuna njia yeyote ya kuend...
Mwigizaji kutoka nchini India, #PriyankaChopra amempa pongezi mumewe #NickJonas na watu wengine walioshiriki kumlea binti yake Malti kwa wakati alipiokuwa katika kazi yake ya ...
Mwanasoka wa zamani Ronaldinho amedai kuwa hataishangilia wala kuangalia mechi yeyote ya Brazil kwenye fainali za Copa America kwa sababu amechoshwa na kipindi cha huzuni.
Aki...
Naibu Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Hamis Mwinjuna (Mwana FA) amesema kuwa bado hakuna msanii wa miondoko ya Hip Hop aliyeweza kuchukua nafasi yake kwenye uandishi wa...
Mwanamuziki wa Bongo Fleva nchini, Marioo amejipa maua yake kwa kudai kuwa yeye ndiyo msanii anayekimbiza zaidi katika bongofleva kwa kuwa na ngoma kali.Marioo ameyaeleza hayo...
Neno la Kiswahili Hakuna Matata, linaendelea kutikisa kwenye nyimbo za wasanii kutoka Marekani baada ya mwanamuziki Gunna kutoka nchini humo kuachia wimbo unaoitwa Hakuna Mata...