Rapa kutoka Marekani Kanye West ameonesha ukubwa wake kwenye biashara, hii ni baada ya kuripotiwa kupata mauzo ya dola milioni tatu kupitia bidhaa zake za YZY ndani ya masaa 3...
Rapa na mfanyabiashara kutoka Marekani, Kanye West 'Ye' amewajia juu kampuni ya Adidas baada ya kutumia jina lake wakati ambao mkataba wao wa kibiashara tayari umeshamalizika....
Mwanamuziki kutoka Marekani Kanye West anakabiliwa na madai ya kumfanyia unyanyasaji wa kijinsia aliyekuwa meneja wake aitwaye Murphy Aficionado kwa kumtumia picha za utupu za...
Na Asma Hamis Mwaka 2024 umeleta mafanikio makubwa kwa wanamuziki wengi wa rap duniani, huku baadhi yao wakivunja rekodi za kusikilizwa zaidi kwenye mtandao wa Spotify.Wa...
Mwanamuziki wa hip-hop kutoka nchini Marekani, Kanye West ametangaza kustaafu muziki huku akidai kuwa hana uhakika wa kufanya kitu kingine kinachohusiana na muziki.
Kanye mwen...
Mwanamuziki kutoka nchini Marekani, #KanyeWest ameomba msaada kwa aliyekuwa mke wake #KimKardashian baada ya kutokuwa na maelewana na kampuni ya Adidas.
Imeripotiwa kuwa msani...
Mke wa mwanamuziki kutoka Marekani #KanyeWest #BiancaSensori amewashangaza wengi baada ya kuvaa vazi la heshima akiwa matembezi na mumewe nchini Japan.
Vazi alilovaa Bianca nd...
Baada ya mwanamuziki Nicki Minaji kukataa kuingiza verse kwenye ngoma ya Kanye West iitwayo ‘New Body’, na sasa ni zamu ya ‘rapa’ Ice Spice naye amerip...
Mwanamuziki Kanye West ambaye kwa sasa anatamba na albumu ya ‘Vultures’ amepanga kuja Africa kwa ajili ya usikilizaji wa albumu yake kwenye Piramid za Saqqara nchi...
‘Timu’ ya wafanyakazi katika kampuni ya mwanamuziki Kanye West, Ye’s imeripoti kuwa zaidi ya nguo zenye thamani ya dola 1 milioni zimeibiwa kwenye ghala la n...
Ikiwa ni wiki kadhaa tangu kuachiwa kwa albumu ya mwanamuziki kutoka nchini Marekani, Kanye West, ya ‘Vultures 1’ ambayo ameshirikiana na ‘rapa’ Ty Dol...
Mwanamuziki na mwanamitindo kutoka nchini Marekani Kanye West anaripotiwa kuwa na mipango ya kufanya ziara ya dunia miezi michache ijayo.Kwa mujibu wa tovuti ya #Billboard, Ka...
Binti wa mwanamuziki Kanye West, North West (10) ametangaza ujio wa album yake wakati alipokuwa jukwaani na baba yake usiku wa kuamkia leo katika ‘Vultures 2 listening p...
‘Rapa’’ Kanye West amewataka waandishi wa udaku (mapaparazi) wampumzishe maana anashindwa ku-enjoy na kula bata jijini Paris kutokana na kumuandama kwa kumfu...