Msanii wa Bongo Fleva ambaye pia ni mshirika wa kundi la muziki la Navykenzo, Aika amewashauri wasichana kutokuwa na matarajio makubwa kutoka kwa wanaume.Aika ameyasema hayo k...
Mwanamuziki wa Bongo Fleva aliyejizolea umaarufu kupitia wimbo wake ‘Kubali’, Lody Music ameiambia Mwananchi Scoop kuwa anaamini kupanda na kushuka ni sehemu ya ma...
Mwimbaji wa merengue mwenye umri wa miaka 69 kutoka Jamhuri ya Dominika, Rubby Pérez anayejulikana kwa vibao vilivyotamba kwenye Billboard kama “Tu Vas a Volar,&r...
Mwanamuziki kutoka Canada, Justin Bieber amefunguka ukweli kuhusiana na aliyofanyiwa na rapa Diddy ambaye kwasasa yupo gerezani akisubilia kesi yake kuanza kuzikilizwa Mei 202...
Mkali wa Afrobeat kutoka Nigeria, Burna Boy ametoa somo kwa wasanii wa Afrika akidai kuwa mashabiki wazawa hawatoshi kumfikisha mbali msanii."Wasanii wapendwa msiruhusu kurasa...
Wakati baadhi ya watu wakidhani anachokifanya Savanna Benson ‘Rais wa First Year’ ni maudhui tu. Mtengeneza maudhui huyo ya mtandaoni anasema kila anachokifanya kw...
Peter AkaroLicha ya ugomvi wao miaka ya hivi karibuni, hilo haliondoi ukweli kuwa Staa wa Konde Music Worlwide, Harmonize anamtazama Diamond Platnumz kama mfano wa kuigwa (rol...
Peter Akaro Miongoni mwa nyimbo maarufu za Oliver Mtukudzi duniani ni ule uitwao 'Neria' ambao aliuandika maalumu kwa ajili ya kutumika katika filamu (Soundtrack) in...
Mtayarishaji maarufu kutoka India, Rakesh Roshan ambaye ni baba mzazi wa mwigizaji Hrithik Roshan amemkabidhi kijana wake huyo mikoba ya kuongoza filamu maarufu ya ‘Krri...
Baada ya msanii na mtayarishaji wa Bongo Fleva, Mocco Genius kumshirikisha Marioo kwenye ngoma ya Mi Nawe mwaka 2024 na kufanikiwa kufanya vizuri kwenye chart na majukwaa mbal...
Msanii wa Bongo Fleva, Juma Jux ametangaza kufanya harusi ya kitamaduni na mke wake Priscilla Aprili 17, 2025.Jux ambaye alifunga ndoa na mke wake Priscilla Februari 7, 2025 M...
Msanii wa Bongo Fleva, Jay Melody ametangaza album yake ya pili kukamilika ikiwa ni mwaka mmoja umepita tangu alipoachia album ya kwanza inayofahamika kama Therapy iliyotoka A...
Kama ilivyo kwenye mpira wa miguu ni sifa kwa mchezaji kucheza miguu yote kulia na kushoto. Hata kwenye muziki ni hivyo. Mtayarishaji anayeweza kuimba, kuandaa biti na melodie...
Msanii wa Hip Hop Bongo, Nay wa Mitego alikuja na mtindo wa aina yake kwenye muziki kwa kukosoa wasanii wengine na baadhi ya mambo kwenye tasnia jambo lililompatia umaarufu ku...