Ikiwa zimepita siku chache tu tangu kuweka rekodi kupitia onyesho lake la ‘Super Bowl Halftime’, ambalo limekuwa tamasha lililotazamwa zaidi katika historia, na sa...
Moja ya show ambayo imekuwa ikifanya vizuri kila mwaka ni na Show ya Halftime ya Super Bowl ambayo imeonesha ukubwa wake katika ufuatilia kwenye mitandao ya kijamii huku show ...
Mustard ni miongoni mwa watayarishaji wa muziki wa Hip-hop wanaofanya vizuri duniani. Akifanikiwa kutengeneza ngoma kali za wasanii wakubwa ikiwa ni pamoja na 'Ballin' alioshi...
Baada ya Kendrick Lamar kuzikomba tuzo 5 za Grammy wiki iliyopita, usiku wa kuamkia leo Februari 10,2025 alitumbuiza kwenye 'Half Time Show ya Super Bowl ya 59', iliyofanyika ...
Shirika la kupambana na matatizo ya Moyo Marekani (AHA) limetumia nyimbo za wasanii kama Kendrick Lamar na Beyonce ili kuhamasisha umma mbinu za kuokoa maisha ya watu kupitia ...
Nyota anayetamba na ngoma ya ‘Not Like Us’ Kendrick Lamar ambaye atatumbuiza katika onyesho la Halftime la Super Bowl ameripotiwa kuwa hatofanya show hiyo mwenyewe...
Ngoma ambayo imembeba mwanamuziki kutoka Marekani Kendrick Lamar mwaka 2024 ya ‘Not like Us’ imetajwa kufikisha wasikilizaji bilioni 1.Mtandao wa Spotify umetangaz...
Rapa kutoka Marekani Drake amewachana watu wake wa karibu waliyomkataa wakati wa bifu lake na msanii mwenzake Kendrick Lamar.Drake amewatolea uvivu watu hao kupitia wimbo aliy...
Wanamuziki wa Hip Hop ambao walitawala vichwa vya habari duniani kote Drake na Kendrick Lamar wametajwa kuwa ndio wasanii wa Rap walioingiza mkwanja mrefu zaidi mwaka 2024.Kwa...
Unaambiwa ngoma ya Peekabo inayopatikana kwenye album mpya ya Kendrick Lamar ilimbidi aimbe mwenyewe kiitikio kwani kila msanii aliyekuwa akipewa aimbe alishindwa kutokana na ...
Jarida la Forbes limetoa orodha ya wasanii bora wa hip-hop wa muda wote huku jina la Kendrick likitokea kama msanii wa pili kwenye orodha hiyo.Orodha hiyo ambayo ilikuwa imesh...
Rapa Drake ameripotiwa kuishitaki mitandao ya kuuzia muziki Universal Music Group (UMG) na Spotify kufuatia na wimbo wa Kendrick Lamar.Kwa mujibu wa Billboard, Drake amechukua...
Rapa wa Marekani Kendrick Lamar anadaiwa kuingia kwenye anga za msanii Father John Misty, hii ni baada ya wawili hao kutoa album muda sawa kwa takribani miaka minne.Utakumbuka...
Rapa kutoka Marekani Future amedai kuwa hafahamu chochote kuhusu bifu la Kendrick Lamar na Drake.Future ameyaeleza hayo wakati alipokuwa kwenye mahojiano na GQ ambapo amefungu...