Baada ya Jackline Wolper kutoa taarifa za kuachana na Mume wake kupitia mitandao ya kijamii, Rich Mitindo ameshea videos na picha zikimuonesha amerejea nchini Tanzania akitoke...
Msanii wa maigizo na mfanya biashara Jackline Wolper amemjia juu Mwijaku kwa kumtaka aache kuongelea maisha na biashara yake kufuatia taarifa za kuachana na alie kuwa mumewake...
Mwendelezo wa filamu maarufu ya ‘28 Days Later’ inayotarajiwa kutoka mwaka 2025 imeripotiwa kurekodiwa kwa kutumia simu ya Iphone 15 jambo ambalo limefanya mashabi...
Baada ya kushika kasi kwa njia za kusambaza na kuuza muziki kidijitali, wasanii wengi nchini hasa wale wa Bongo Fleva wamerudisha utamaduni wa kutoa albamu ila sasa wameongeza...
Vipo vitu vingi ambavyo vimekuwa vikitumia kwenye jamii na kuleta manufaa bila ya watumiaji kufahamu ni nani aliumiza kichwa kubuni vitu hivyo.Kutokana na hilo mfahamu raia wa...
Vipi, wameachana au ni kiki? maswali ni mengi kwa ndoa ya msanii na mfanyabiashara Zuwena Mohamed 'Shilole' na mumewe Rajabu Issa 'Rommy' kutokana na yanayoendelea mitandaoni....
Ndoa, ni muungano ulioidhinishwa kisheria na kijamii, kwa kawaida kati ya mwanamume na mwanamke hukubaliana kwa pamoja kuingia katika hatua hiyo pindi wamalizapo kujuana kwa k...
Kufuatia na video zinazosambaa mitandaoni zikimuonesha aliyekuwa msemaji wa Yanga, Haji Manara na aliyekuwa mke wa Dulla Makabila, Zaylissa kuhusishwa kutoka kimapenzi, mastaa...
Baada ya kuzuka tetesi kupitia mitandao ya kijamii kuwa muigizaji Jackline Wolper na mumewe Rich Mitindo kuwa wameachana, hatimaye #Rich amejibu na kueleza kuwa yeye na mkewe ...
Mugizaji Jacline Wolper amedai kuwa pesa ya kuhongwa siyo halali ni pesa ya haramu kwa sababu hauwezi ukaionea uchungu.
Muigizaji huyoamedai aliwahi kuongwa sana lakini hakuna...
Muigizaji na mfanyabiashara Jackline Wolper amefunguka kuhusu kuachana na mume wake Rich Mitindo, kutokana na kuwepo kwa tetesi za wawili hao kuwa na ugomvi ambao ulipel...