Juni 6, 2025, katika Mahakama ya Shirikisho ya Manhattan, kesi ya jinai dhidi ya mwanamuziki Sean "Diddy" Combs iliendelea kwa ushahidi wa kushtua kutoka kwa aliyekuwa mpenzi ...
Kiu ya mashabiki wengi wa Bongofleva kwa sasa ni kuona Mbosso anakuja vipi na kazi yake ya kwanza baada ya kuachana na WCB Wasafi, rekodi lebo yake Diamond Platnumz ambayo kaf...
Dokumentari iliyopewa jina la 'Whitney Houston in Focus' imeibua mengi kuhusu mwanamuziki huyo wa Soul, RnB na Pop kutokea Marekani ikielezea maisha yake kabla ya ku...
Mwigizaji wa filamu nchini, Chuchu Hansy anaonesha kubaki njia panda kila linapokuja suala la kuolewa na mwigizaji Ray Kigosi.
Akizungumza na Mwananchiscoop, Chuchu ames...
Fatma Maruzuku ambaye ni mama mzazi wa Marehemu Hawa Hussen (Carina), amefariki dunia leo June 06,2025 jijini Dar es Salaam.Kaka wa Marehemu amethibitisha kutokea kwa msiba hu...
Mwanamuziki wa Bongo Fleva nchini ambaye pia ni mkali wa Singeli, D Voice amewataja wasanii ambao anatamani kuwasaini endapo ataanzisha lebo ya Singeli.Wakati alipokuwa kwenye...
Mwigizaji Michael B. Jordan ameeleza kuwa moja ya jambo ambalo analikumbuka siku zote ni ushauri alioupokea kutoka kwa Denzel Washington ambapo alimsihi kuepuka mitandao ya ki...
Baada ya kuwepo kwa tetesi katika mitandao ya kijamii kuwa mwanamuziki Mbosso naye anatarajia kuoa kufuatia na hastag ya ‘RN3’ aliyoiweka katika Instagram yake. Ha...
Jaji wa shirikisho anayeongoza kesi ya ya usafirishaji wa binadamu kwa ajili ya ngono dhidi ya Sean "Diddy" Combs, Jaji Arun Subramanian alimbadilikia msanii huyo na majaji wa...
Baada ya kuwepo kwa mijadala katika mitandao ya kijamii kuhusiana na msanii wa singeli Dogo Paten kushindwa kutumbuiza kutokana na sauti yake kuleta shida huku msanii mwenzake...
Mkali wa Pop kutoka katika visiwa vya Barbados, Rihanna ameripotiwa kuwa utajiri wake umepungua kwa kaisi kikubwa kutokana na baadhi ya miradi yake ya kibiashara kutofanya viz...
Mambo yanazidi kuwa magumu kwa mkali wa Rap kutoka Marekani, Sean "Diddy" Combs, hii ni baada ya mbunifu wa mitindo Bryana Bongolan, ambaye ni rafiki wa karibu (BFF) wa Cassie...
Mwanamuziki wa Bongo Fleva nchini Yammi ameweka wazi kuwa amelipa kiasi cha Sh100 milioni kuondoka katika lebo ya ‘The African Princess’ inayomilikiwa na msanii Na...
Mwanamuziki kutoka Nigeria amewataka mashabiki zake kuacha kumuita mtoto wake wa kike ‘Duduke’.Wakati alipokuwa kwenye mahojiano na ‘VJ Adams’ Simi ame...