Mawakili wa utetezi wa Diddy wametoa hati mpya Mahakamani ya kupinga madai ya kuwa video zinazomuhusu rapa huyo na aliyekuwa mpenzi wake Cassie Ventura kuwa zilirekodiwa kwa k...
Mwigizaji kutoka Marekani Will Smith amedokeza ujio wa kurudishwa kwa filamu ya zamani ya ‘The Matrix’ akiweka wazi kuchukua nafasi ya Neo ambaye alikuwa ni muhusi...
Baada ya kuzuka kwa taarifa siku ya jana kuwa mwanamuziki Diddy yupo chini ya uangalizi wa kuzuia kujiua, Mwanasheria wa rapa huyo Marc Agnifilo afunguka kuhusu sakata hilo hu...
Ikiwa wiki inaenda kukatika huku hatma ya rapa Diddy ikiwa bado haijajulikana mwanamuiziki huyo amewekwa chini ya uangalizi ili asijiue.Kwa mujibu wa tovuti ya People imeeleza...
Mwanamuziki Jennifer Lopez na aliyekuwa mumewe Ben Affleck wameendelea kuonekana pamoja licha ya wawili wao kutarajia kupeana talaka.Lopez na Ben walionekana pamoja katika usi...
Mkali wa Hip Hop kutoka Marekani Diddy ameripotiwa kukamatwa na polisi New York kufuatia tuhuma za kujihusisha na unyanyasaji wa ngono na biashara za madawa ya kulevya.Kwa muj...
Moja ya kundi la muziki wa injili linalofanya vizuri nchini ni hili la Zabron Singers kupitia baadhi ya nyimbo zao kama vile Moyo, Uko Singel?, Naogopa, Mkono wa Bwana, na Swe...
Dar es salaam. Familia ya aliyekuwa mwimbaji wa kundi la Zabron Singers Marco Joseph imesema chanzo cha kifo cha ndugu yao ni tatizo la moyo lilitokea ghafla akiwa nchini Keny...
Mwigizaji na mwanamuziki wa Marekani, Jennifer Lopez, ameripotiwa kufungua shauri la kudai talaka kwa mumewe, Ben Affleck.Kwa mujibu wa TMZ, Lopez amewasilisha shauri hilo mah...
Imeripotiwa kuwa ‘klabu’ ya Chelsea ina mpango wa kupiga bei mastaa wake kadhaa ili kupata Euro 200 milioni ambazo itazitumia kwenye usajili wa ‘straika&rsqu...
Mtoto wa Diddy, aitwaye King Combs (26) ameshtakiwa kwa kumnyanyasa kingono mwanamke aliyefahamika kwa jina la Grace O'Marcaigh, tukio lililotokea St Martin mwaka 2022.Kwa muj...
Mwanamuziki kutoka nchini Marekani #TaylorSwift kwa sasa ndiye anayepata pesa nyingi katika show za muziki ambapo ziara yake ‘The Eras Tour’ imeingia kwenye Kitabu...
‘Goli kipa’ wa ‘klabu’ ya #Barcelona, #MarcStegen anadaiwa kutoonekana kikosini kwa takribani miezi miwili, kwani anatarajia kufanyiwa upasuaji wa jera...