Mwanamuziki na mfanyabiashara tajiri kutoka Guinea, Moussa Sandiana maarufu Grand P, amemtambulisha mpenzi wake mpya aitwaye Mariame, baada ya kuachana na mwimbaji na mwanamit...
Baada ya kutangaza uhusiano wake mpya na mpenzi ambaye ni Mbunge wa Jimbo la Edo, Natasha Osawaru, sasa msanii huyo amemvisha pete mpenzi wake huyo.Kufuatia na video zinazoend...
Baada ya mwanamuziki kutoka Nigeria Innocent Idibia '2Face' kutangaza kuachana na mkewe Annie Idibia, baada ya kudumu kwenye ndoa kwa miaka 13, hatimaye ametangaza kuwa na uhu...
Baada ya kuandamwa na kesi mfululizo za unyanyasaji wa kingono, hatimaye rapa Diddy ameamua kurudisha mashambulizi. Anadaiwa kufungua kesi ya madai kwa mtu aliyedai kuwa na vi...
Nyumba maarufu iliyopo katika kitongoji cha Winnetka, Illinois Chicago ambayo ilitumika kuigizia filamu ya ‘Home Alone’ ya mwaka 1990 inimeuzwa rasmi.Nyumba hiyo i...
Albamu ya A Father Figure kutoka kwa mkali wa Hip Hop, Dizasta Vina iliyotoka Januari 6, 2024 ikiwa imeshiba ngoma kama Theluji, Nobody is safe 5, Hatia VI, Not A Hero, Chupa ...
African Giant albamu kutoka kwa Burna Boy bado inasumbua kwenye kiwanda cha muziki Afrika baada ya kuweka rekodi mpya ya kuwa album ambayo imesikilizwa zaidi kwenye kwenye mta...
2024 ni mwaka ambao zimeachiwa albamu nyingi kutoka kwa wasanii wa Hip-hop nchini ikiwemo albamu ya Mbuzi kutoka kwa Young Lunya ambayo ilitoka rasmi June 28, 2024 ikiwa imesh...
Fashion na mitindo ni miongoni mwa tasnia pendwa ulimwenguni, ingawa katika baadhi ya maeneo bado haijapewa kipaumbele. Licha ya hayo haijawa sababu ya tasnia hiyo kuacha kuza...
Tasnia ya muziki wa Bongo Fleva imejaa vipaji vingi kutoka kwa wasanii tofauti tofauti, ambao kila mmoja alifanikiwa kutoka kwa wakati wake. Katika hao wapo ambao walianza muz...
Mastaa mapacha wa shoo ya uhalisia 'Reality Show Big Brother Naija’ kutoka Nigeria Wanni na Handi Danbaki wameweka wazi namna ambavyo wanaume wanawasumbua kwa kuwatongoz...
Ukiwa mtu wa mitandao lazima utakuwa umekutana na picha au video za kutisha zikiwahusisha baadhi ya watu wakiwemo mastaa mbalimbali wakiwa kwenye mionekano ya ajabu. Kawaida p...