02
Sijui umpe nini Diamond ashindwe kufanya
Kila msanii wa muziki huwa na zawadi yake ya kipekee aliyobarikiwa katika uwezo na uwasilishaji wa kazi zake. Wapo wenye sauti nzuri,kupendwa na mashabiki, melodi kali na weng...
02
Hata mastaa hawa walifunga ndoa kwa siri
Kawaida kwenye kiwanda cha burudani mashabiki hudhani maisha ya mastaa wanaowashabikia yapo mikononi mwao, yaani hutaka kufahamu kila kinachowatokea mastaa hao. Kuanzia maisha...
02
Harmonize akanusha kuelemewa na mapenzi
Nyota  wa muziki wa kizazi kipya nchini, Harmonize amesema kujiweka vyema kimuonekano mzuri sio kwa lengo la kupata warembo tu, ila ni kwa sababu ya kazi na ustaa na kwam...
31
Aziz Ki Kabeba Pesa Na Dada Yetu
Alichukiliwa kutoka Ivory Coast na kuletwa Tanzania. Alichotakiwa kufanya kakifanya, kisha kaenda zake Morocco. Akiwa mbali alionekana yeye. Akiwa karibu kaonekana yeye tena. ...
31
Cardi B Adai Offset Hamsaidii Kulea Watoto
Baada ya kusubiliwa kwa muda mrefu jina la mtoto wa tatu wa rapa Card B aliyezaa na aliyekuwa mpenzi wake mwanamuziki Offset, na sasa Cardi amefuchua jina la mtoto huyo aitway...
31
Justin Bieber Achekelea Dili La Mkewe Hailey
Mwimbaji wa Pop kutoka Canada, Justin Bieber (31) ameonyesha kufurahia dili jipya la mkewe Hailey(28) lenye thamani ya Dola1 bilioni wakati huu ambapo anaripotiwa kukabiliwa n...
31
Trump Yupo Tayari Kutoa Msamaha Kwa Diddy
Rais wa zamani wa Marekani, Donald Trump, amesema yuko tayari kuangalia ukweli wa kesi inayomkabili msanii wa muziki Sean "Diddy" Combs, ambaye kwa sasa anakabiliwa na mashtak...
31
Best King: Nimepitia wakati mgumu, siendekezi matatizo
Mwanamitandao na mwigizaji nchini Best King ambaye kwa sasa ni baba wa mtoto mmoja wa kike anayeitwa Chloe, ameweka wazi matamanio yake kwa binti yake kuhusu kazi atakayoifany...
30
Eddie Murphy Na Martin Lawrence Sasa Ni Familia
Waigizaji na wachekeshaji maarufu kutoka Marekani, Eddie Murphy na Martin Lawrence wameripotiwa kuwa ndugu baada ya mtoto wa Eddie, Eric Murphy, kufunga ndoa na binti wa Marti...
30
Utafiti: Love Bite Inaweza Kusababisha Kiharusi
Kwa mujibu wa utafiti uliyofanywa na madaktari Dkt. Richard Wright, Dkt. Lee Schwamm, Umebaini kuwa ‘Love Bite’ (alama ya busu shingoni) inaweza kusababisha ugonjw...
30
Kesi Yazidi Kumwelemea Diddy, Mwingine Atoa Ushahidi
Ikiwa ni wiki tatu mfululizo tangu kuanza kusikilizwa kesi ya rapa kutoka Marekani Sean "Diddy" Combs, na sasa msaidizi mwingine wa Diddy ametoa ushahidi akidai kuwa alinyanya...
28
Wasanii tunawaponda ila wako vizuri kimtindo
Kusema ukweli washkaji, tunaweza kukaa kijiweni siku nzima tukimponda Alikiba. Wengine tuseme anajibebesha ufalme wa bure lakini wala sio taji lake hilo, yaani kama ingekuwa v...
28
AY alivyobeba dhamana ya Shetta, video ya Kerewa
Misifa Camp na Darstamina ni barabara iliyomfikisha alipo leo kimuziki, ibarikiwe mikono iliyowalea Pancho Latino, Mona Gangster na Belle 9 ambao ndio walimleta Shetta katika ...
28
Mfanyakazi wa Diddy atoa ushahidi amtaja 50 Cent
Capricorn Clark ambaye alikuwa mfanyakazi wa rapa kutoka Marekani, Diddy Sean Combs ametoa ushahidi mahakamani kwa mara ya kwanza kuhusu mashtaka yanayomkabili rapa huyo.Wakat...

Latest Post