17
Khadija Kopa ajitosa tena kwenye singeli, Barobaro aeleza alivyomshawishi
Nguli katika muziki wa Taarabu, Khadija Kopa amejitosa tena katika muziki wa Singeli ambapo jana sauti yake ilisikika katika ngoma...
17
Video Chafu Za Diddy Zaoneshwa Mahakamani
Wakati kesi ya rapa kutoka Marekani ikiendelea kuunguruma mahakamani, jana Jumatatu Juni 16, 2025, majaji walishuhudia vipande vya video zinazodaiwa kuwa za Party za rapa huyo...
17
Kelly Azidishiwa Dawa Gerezani, Akimbizwa Hospitali
Mwanamuziki nguli wa RnB kutoka Marekani, R. Kelly, ameripotiwa kukimbizwa hospitalini baada ya kupoteza fahamu akiwa ndani ya chumba chake cha gerezani la ‘Butner Feder...
17
Diamond alivyobadilisha biashara ya Jux hadi kimataifa
Peter AkaroTayari mastaa wa Bongo Fleva, Diamond Platnumz na Jux wapo Uingereza kwa ajili ya show tatu zitakazofanyika London, Manchester na Glasgow hadi Juni 15, ikiwa ni mar...
17
Justin Bieber Na Paparazi, Vita Bado Mbichi
Mwanamuziki kutoka Canada, Justin Bieber ameendeleza vita yake na Paparazi (waandishi wa udaku) ambapo jioni ya jana aliandika ujumbe akionesha kutopendezwa na vitendo vya wat...
17
Muziki wa Bongo, Hit haraka upishe wenzako
Ukiachilia mbali msanii kuwa na uandishi mzuri, Sauti, Floo, Midondoko na Melodi kali za kuvutia pia anahitaji tiketi ya kukubalika na mashabiki iliaweze kufanikiwa kwenda mba...
16
Drake Amtukana Mwanasiasa Kisa Kendrick
Rapa kutoka Canada, Drake amerushiana maneno na mmoja wa wanasiasa nchini humo, Jagmeet Singh baada ya mwanasiasa huyo kuhudhuria tamasha la Kendrick Lamar na SZA lililofanyik...
16
Sintofahamu yatokea mahakamani, kesi ya Diddy
Mahakama Kuu ya Shirikisho mjini Manhattan, Marekani, iliendelea kushuhudia drama za aina yake katika kesi ya nyota wa muziki Sean “Diddy” Combs, ambaye anakabiliw...
16
Kinachoendelea afya ya Dj Mushizo baada ya kupata ajali moto
Hali ya mwanamuziki wa Singeli Mussa Ramadhan maarufu ‘Dj Mushizo’ inaendelea kuimarika ikiwa ni siku ya nne tangu apate ajali ya moto na kufikishwa katika Hospita...
16
Davido Asusia Shoo London, Ataja Sababu
Mkali wa Afrobeat kutoka Nigeria, Davido ameelezea sababu za kujiondoa kwenye shoo iliyopangwa kufanyika Tottenham Hotspur Stadium jijini London Julai 3, 2025, akisema sababu ...
16
Ubuyu ya Ali Kiba kuipeperusha Singeli Bongo
Moja ya kitu ambacho kilikuwa kinasubiriwa kwa hamu kwenye muziki wa Tanzania ni kumuona msanii mkongwe, anayependwa, na mwenye ushawishi mkubwa kwenye tasnia hiyo, Ali Salehe...
16
Ndani Ya Boksi: Saa 12 Hadi Saa 12 Na Diamond
Wikiendi iliyopita na salio la ‘salare’. Tofauti na leo, niko hoi bin taabani. ‘Lasti wikiendi’ nilihifadhi sura yenye nuru na ‘smaili’ fla...
14
Penzi la Katy Perry na Bloom lakalia kuti kavu
Uhusiano wa mwimbaji wa Pop Marekani, Katy Perry, 40, na mchumbaji wake, Orlando Bloom, 48, ambaye ni mwingizaji wa Uingereza unatajwa kukalia kuti kuvu huku kisirani cha mrem...
14
Apple Yaonya Kuchaji Simu Kitandani
Kampuni ya Apple imetoa mwongozo mpya wa usalama ukionya wamiliki wa iPhone kuepuka kuchaji simu zao kwenye mashuka, mito na godoro (kitandani).Kwa mujibu wa Apple, betri za s...

Latest Post