Msanii wa maigizo na mfanya biashara Jackline Wolper amemjia juu Mwijaku kwa kumtaka aache kuongelea maisha na biashara yake kufuatia taarifa za kuachana na alie kuwa mumewake...
Ikiwa zimepita siku chache tangu muigizaji na mtangazaji Mwijaku kumzungumzia vibaya mwanamuziki Maua Sama mazungumzo ambayo yaliyoonekana ni unyanyasaji, Maua Sama kupitia wa...
Muigizaji na mwandishi wa habari Mwijaku ametoa ushauri kwa mwanamuziki Whozu kuwa atafute pesa ili aweze kuheshimiwa ukweni,Hii inakuja baada ya kilichotokea usiku wa kuamkia...
Wakati baadhi ya wamiliki wa media nchini wakiendelea kuboresha vituo vyao vya habari ili kupata wafuatiliaji zaidi, hatimaye mtangazaji na mwanamitandao Mwijaku amedai ...
Akizungumza na waandishi wa habari DC wa Instagram #Mwijaku amedai kuwa baada ya kukutana na Bi Khadija Kopa na kuyamaliza yaliyokuwa yanaendelea mitandaoni baada ya kumkosea ...
Baada ya kumaliza yarch party usiku wa kuamkia leo, Harmonize ameanda party nyingine na kuwaalika waliowahi kufanya kazi na yeye akiwemo Babalevo, Mwijaku na Hbaba na kueleza ...
Huku michuano ya kushika namba moja trending kwenye platforms za kuuzia muziki kwa wasanii wa #BongoFleva, kwa upande anayejiita Dc wa #Instagram na mtangazaji #Mwijaku anadai...
Moja kati ya taarifa iliyozua gumzo huko kwenye mitandao ya kijamii ni hii hapa inayohusisha comment ya Mwijaku kuhusu Maua Sama kuwa karibu na Msanii mwenzie Jux.
Koment hiyo...
Aloooooooh! Huku mjini Instagram bwana kuna sakata ambalo linaendelea linalo muhusisha bibi harusi wetu wa juzi kati Nandy na yule Dc wa Instagram Mwijaku baada ya kuvuja kwa ...
Aloooh! Wakati wengine wakimsifia Diamond kwa kupeperusha bendela ya Tanzania katika matamasha mbalimbali anayo yafanya ambapo hivi karibuni akiwa katika show yake kubwa ya Af...
Waja waja nawaita mara tatu mmemfanya nini Dc wa Instagram Mwijaku maana sio kawaida yake kuongea maneno konki ambapo mpaka mashabiki zake wamempongeza kwa ujumbe huo mz...
Ohoo!!Msanii wa maigizo, Burton Mwembe maarufu Mwijaku,wenyewe anapenda kujiita Dc wa Insta amekutwa na kesi ya kujibu katika shtaka la kusambaza picha za utupu kinyume na she...