30
Eddie Murphy Na Martin Lawrence Sasa Ni Familia
Waigizaji na wachekeshaji maarufu kutoka Marekani, Eddie Murphy na Martin Lawrence wameripotiwa kuwa ndugu baada ya mtoto wa Eddie, Eric Murphy, kufunga ndoa na binti wa Marti...
30
Utafiti: Love Bite Inaweza Kusababisha Kiharusi
Kwa mujibu wa utafiti uliyofanywa na madaktari Dkt. Richard Wright, Dkt. Lee Schwamm, Umebaini kuwa ‘Love Bite’ (alama ya busu shingoni) inaweza kusababisha ugonjw...
30
Kesi Yazidi Kumwelemea Diddy, Mwingine Atoa Ushahidi
Ikiwa ni wiki tatu mfululizo tangu kuanza kusikilizwa kesi ya rapa kutoka Marekani Sean "Diddy" Combs, na sasa msaidizi mwingine wa Diddy ametoa ushahidi akidai kuwa alinyanya...
28
Wasanii tunawaponda ila wako vizuri kimtindo
Kusema ukweli washkaji, tunaweza kukaa kijiweni siku nzima tukimponda Alikiba. Wengine tuseme anajibebesha ufalme wa bure lakini wala sio taji lake hilo, yaani kama ingekuwa v...
28
AY alivyobeba dhamana ya Shetta, video ya Kerewa
Misifa Camp na Darstamina ni barabara iliyomfikisha alipo leo kimuziki, ibarikiwe mikono iliyowalea Pancho Latino, Mona Gangster na Belle 9 ambao ndio walimleta Shetta katika ...
28
Mfanyakazi wa Diddy atoa ushahidi amtaja 50 Cent
Capricorn Clark ambaye alikuwa mfanyakazi wa rapa kutoka Marekani, Diddy Sean Combs ametoa ushahidi mahakamani kwa mara ya kwanza kuhusu mashtaka yanayomkabili rapa huyo.Wakat...
27
Janet Jackson Atunukiwa Tuzo Ya Heshima
Mwanamuziki na Muigizaji kutoka nchini Marekani, Janet Jackson usiku wakuamkia leo Mei 27, 2025, ametunukiwa tuzo ya heshima ‘Icon Award’ katika hafla ya utoaji wa...
27
Mastaa Waliong’ara Tuzo Za AMA 2025
Usiku wa kuamkia leo Mei 27, 2025, limefanyika tukio la ugawaji wa tuzo za American Music Award's (AMA) huko Fontainebleau, Las Vegas huku tukio hilo likishereheshwa na m...
27
Kili Paul Hana Mpinzani India
Mashabiki na wadau wa burudani kutoka India wameonesha upendo mkubwa kwa mtengeneza maudhui maarufu Bongo, Kili Paul baada ya kutua nchini humo. hii ni baada ya Kill kuonekana...
27
Maandalizi Kuelekea Harusi Ya Jux Na Priscy, Kesho
Tazama maandalizi kuelekea sherehe ya Jux na mke wake Priscilla inayotarajiwa kufanyika kesho Mei 28,2025 katika ukumbi wa Warehouse jijini Dar es Salaam.Utakumbuka kuwa baada...
27
Kesi ya Diddy yaendelea kupamba moto mahakamani
Wakati mashahidi wakiendelea kutoa ushahidi kwa nyakati tofauti, timu ya wanasheria wa Diddy imeripotiwa kutaka kuondoa ushahidi wa Rapa Kid Cudi kwa madai ya kuwa ushahidi hu...
26
Nipe Fei nipe Mzize nikupe figo
Ukimfunika kukaba, atakufunika kwenye kufunga. Ukimfunika kwa chenga, atakutesa kwa mishuti. Akiwepo uwanjani anakupa meza na maji ya kunawa. Anakuwekea chakula na kitanda ana...
26
Safari ya Joslin na Wakali Kwanza hadi kutusua
Msanii wa Bongofleva Joslin ni miongoni mwa wasanii watatu waliounda kundi la Wakali Kwanza akiwa na wenzake Q Jay na Makamua huku MJ Records wakitoa kazi zao nyingi hapo...
26
Hasira za Hanstone kwa Diamond hazimsaidii
Oya! kuna siku nilikuwa nimefulia vibaya sana. Kila nikiangalia pale ninapoweka vichenji vyangu kweupe kabisa hakuna kitu. Nilipotulia vizuri nikaanza kukumbuka majina ya watu...

Latest Post