Rapa kutoka Marekani ameonesha ukarimu wake kama baadhi ya mastaa wanavyoonesha kwa mashabiki wao, kwa kumpatia muhudumu wa baa aitwaye Renee Brown, dola 20,000 ikiwa ni zaidi...
Tamasha la Muziki la Coachella linalotarajiwa kufanyika kwa wiki mbili April 2025, tayari wasimamizi wake wametoa orodha ya wasanii watakaoshambulia jukwaa hilo akiwemo Lady G...
Katika Tuzo za MTV VMAs 2024 zilizotolewa jana Septemba 12 wanamuziki Taylor Swift na Post Malone waliibuka kidedea kwa kuondoka na tuzo nyingi zaidi huku‘kolabo’ ...
Kwa mujibu wa utafiti uliyofanywa na ‘The British Journal of Sports’ umegundua kuwa kukaa chini zaidi ya saa 12 kunaongeza hatari ya kifo cha mapema kwa asilimia 3...
Rapa maarufu kutoka nchini Marekani #PostMalone amefunguka sababu ya kuchora tattoo usoni akidai kuwa alikuwa anatafuta mwonekano mzuri wa uso wake.
Kwa mujibu wa tovuti ya Da...
Post ‘Rapa’ kutoka Marekani Lil Wayne na Post Malone wanatuhumiwa kuidanganya Serikali nchini humo kupitia mradi wao wa kufundisha vijana kuacha kutumia madawa ya ...
Mwanamuziki wa Hip-hop kutoka nchini Marekani Post Malone amewajibu mashabiki waliyoshangazwa na kupungua kwa mwili wake, na kudai kuwa msanii huyo anatumia madawa ya kulevya ...
Mwanamuziki wa hiphop kutoka nchini Marekani Post Malone amekanusha kutumia madawa za kulevya baada ya maswali mengi kuibuka kutokana na mabadiliko kwenye mtindo wake wa...
Moja ya story huko mitandaoni ni hii ya Rapa kutokea pande za Marekani, Post Malone amefunguka kwamba anatarajia kupata mtoto wake wa kwanza.
Post Malone ameuambia mtandao wa ...