04
Hili Ndio Gauni Lililozua Mjadala Mitandaoni
Moja ya nguo ambayo ilizua mjadala nchini Marekni ni gauni hiyo unayoiona kwenye video ambapo watu mbalimbali walikuwa wakibishana kuhusiana na rangi halisi ya gauni hilo.Hata...
12
SHAIRI - MCHAMBO KWA EX
Penzi likiwa la masharti linanifanya niwe mento Penzi lako la mgao utafikiri Tanesco, Sideti na vivlana nadate na wanaume wanaojitambua zaidi ya Neto, Mimi sio shirika la misa...
10
Wasanii hawa wanawafuasi na siyo mashabiki
Na Masoud ShafiiMuziki kama tasnia nyingine umekuwa na mashabiki na wafuasi kwa wasanii, kwa mujibu wa wasanii wenyewe wamekuwa wakitoa maana ya maneno hayo mawili kwa kulinga...
22
Sio kinyonge Roma aonesha chati zake na rapa wa Marekani
Mkali wa muziki wa Hip-hop kutoka Bongo Roma Mkatoliki ameonesha mazungumzo yake na ‘rapa’ kutoka Marekani Jadakiss, kwa lengo lake likiwa ni kufanya naye kazi.Kup...
01
Mastaa wamlilia hayati Mzee Mwinyi
Kufuatiwa kutangazwa kwa kifo cha aliyekuwa Rais wa Awamu ya Pili wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Hayati Ali Hassan Mwinyi, mastaa mbalimbali wameoneshwa kuguswa na msiba ...
26
Producer Geof Master afariki dunia, Roma amlilia
Producer wa muziki nchini Geof Master ambaye alikuwa akifanya kazi kwenye studio ya Tongwe Records amefariki dunia leo saa nne asubuhi kwenye Hospitali ya Saratani ya Ocean Ro...
10
Staa wa x-men, Casto afariki dunia
Muigizaji na mwanamuziki kutoka nchini Mexico #AdanCanto aliyefahamika zaidi kupitia filamu yake ya ‘X-Men: Days of Future Past na Agent Game’ amefariki dunia akiw...
01
Roma: Maisha yana siri simama na Mungu
“Unaweza ukapambana Kutafuta pesa Kwa miaka mingi ukamwaga jasho machozi na damu….Ukabahatika Kupata Hata 100M, ukasema Sasa Nianze kujijenga kimaisha, hapo hapo ...
29
Roma: sihusiki kwenye wimbo wa Nay, namba zake za simu sina
Baada ya msanii Nay wa Mitego kudai kuwa mistari ya wimbo wa amkeni ambao kwa sasa umefungiwa kuna baadhi ya mistari ametumiwa na #Roma, sasa roma amejibuka na kukanusha madai...
18
ROMA: Wakitoa hit utasikia nilikaa kimya kwa muda mrefu
 Msanii wa muziki wa #HipHop nchini Roma Mkatoliki, ametupa jiwe gizani kwa baadhi ya wasanii wenye tabia ya kudai walikaa kimya kwa muda mrefu, mara baada ya kuona wamet...

Latest Post