Msanii wa WCB D Voice ametoa angalizo kwa wasanii wa singeli kutotoa nyimbo Desemba 31,2024 kwani watakula hasara.“Wale Wasanii wa Singeli mnaosubiria mtoa nyimbo tarehe...
Kauli ya Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Prof Palamagamba Kabudi kuhusu kuwekeza nguvu kwenye muziki wa singeli imewakosha wasanii wa muziki huo huku wakimuomba ...
Baada ya mwanamuziki wa Bongo Fleva nchini Ibrah kuweka wazi kuwa yupo tayari kuwekeza nguvu katika muziki wa Singeli, hatimaye msanii huyo ameonesha nia yake hio kwa kutoa si...
Baada ya singeli inayotamba Ndani na Nje ya Tanzania ya ‘Wivu’ kufanya vizuri katika platform zote, mwanamuziki wa Bongo Fleva Ibrah Tz ameamua kuwa atawekeza zaid...
Mwanamuziki wa Singeli, Meja Kunta, ameweka wazi mipango yake ya kufanya kazi na rapa mkongwe Rashidi Abdallah, maarufu kama Chidi Benz.
Akizungumza katika mahojiano maalumu n...
Mwanamuziki wa #Bongofleva nchini Rayvanny akiwa kwenye muendelezo wa ziara yake katika nchi mbalimbali ameanza kuupigia debe muziki wa Singeli, huku akitaka ulimwengu kuskili...
Msanii wa muziki wa singeli nchini Mzee wa Bwax amedai kuwa yeye ndiye msanii mkubwa wa singeli Tanzania amesema hayo baada ya kuitwa katika tamasha la Wasafi Festival.
Mzee w...
Wakati wasanii wa #BongoFleva wakiendelea kukiwasha katika sekta yao huku watoto wa uswazi wazee wa singeli wakiendelea kupambana ili kuufikishe muziki wa singeli kimataifa.
M...
Na Habiba Mohammed Aloooooo! Ama kweli ule msemo unaosema ukisema cha nini wenzio wanajiuliza watakipata sio maneno yangu basi bwana mashabiki wa mziki wa singeli na baad...
Msanii wa Singeli hapa nchini, Mejakunta ametamba na kusema kuwa kwa sasa hakuna msanii wa miondoko hiyo ya Singeli anayemfikia kwa namba katika mtandao wa YouTube.
Mejakunta ...