Baada ya mwanamuziki kutoka Marekani Usher, kuwa mshauri wa muda mrefu kwa msanii Justin Bieber na kuzindua kipaji alichonacho kwa jamii, sasa imeripotiwa kuwa wawili hao huwe...
Albamu maarufu ya SZA inayofahamika kama SOS imerudi tena kwa kishindo ambapo imeshika nafasi ya kwanza katika chati ya Billboard 200, ikiwa ni miaka miwili tangu kuachiwa kwa...
Na Asma HamisMwanamuziki kutoka Afrika Kusini ambaye alitamba na wimbo wa ‘Water’ Tyla ameendelea kung’ara Kimataifa na sasa ameripotiwa kushindwa tuzo ya ms...
Licha ya ngoma ya ‘Komasava’ kufanya vizuri duniani kote lakini msanii Diamond Platnumz amegonga mwamba dhidi ya mastaa kutoka Nigeria katika kuwania tuzo za Gramm...
Mwanamuziki kutoka Nigeria Paul Okoye maarufu Rudeboy amethibitisha kuwa kundi la ‘Psquare’ alilolianzisha yeye na pacha wake Peter Okoye limevunjika milele.Rude a...
Rapa Travis Scott ameripotiwa kukamatwa na polisi jijini Paris, Ufaransa kwa madai ya kumpiga mlinzi wake (Bodyguard).Kwa mujibu wa Dail Mail, Scott amekamatwa alfajiri ya leo...
Baada ya mwigizaji mkongwe na aliyewahi kuwa Miss Tanzania mwaka 2006, Wema Sepetu kufika nchini Korea kwa ajili ya ziara ya mafunzo kuhusiana na mswala mazima ya tasnia ya ui...
Mchekeshaji Eric Omondi amekamatwa tena na polisi nchini Kenya, wakati alipokuwa kwenye maandamano yanayoendelea nchini humo ya kupinga ongezeko la kodi katika Muswada wa Fedh...
Ikiwa ni mwendelezo wa historia ya mwanamuziki mkongwe wa Bongo Fleva nchini, Rehema Chalamila maarufu Ray C kueleza sababu ya kuondoka Tanzania na kuhamia Paris, Ufaransa, sa...
‘Klabu’ ya Kaizer Chiefs imeonesha tena nia ya kutaka huduma ya aliyekuwa Kocha wa Yanga, Nasreddine Nabi baada ya mwaka jana kumkosa.Dili la Nabi kwenda Kaizer li...
Bondia Tyson Fury na Oleksandr Usyk ambao walizichapa wiki chache zilizopita wanatarajia kupanda tena ulingoni Desema 21, 2024.Taarifa ya pambano hilo imethibitishwa leo Mei 2...
Baada ya ukimya wa miezi kadhaa sakata la mkali wa hip-hop kutoka nchini Marekani Sean Combs maarufu Diddy limeanza upya na sasa mawakili wake wamewasilisha ombi kufutwa kwa k...
Mchezaji wa #ManchesterUnited, #LisandroMartinez anatarajiwa kurudi tena uwanjani katika mchezo wa fainali ya kombe la FA utakaochezwa Mei 25, 2024 katika uwanja wa #Wembley n...